Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wamepata wanachostahili.Lema amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao
Mnyika, Katibu Mkuu wa chama, amepanda jukwaani TBC wakakata hotuba yake wakaenda studio, watangazaji wakaanza kuongea wao....
Sawa mkuu. Kwa hiyo wewe ni "mwana CCM" [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huwezi kuliona mpaka uwe mwanaccm
Mwisho wa mwezi Leo wamelipwa mishahara na bonas ya kazi za kampeni sasa WAMELEWA wanagombana wenyewe kilevi.Nyie wote NI CCM team Buku Saba.
Otherwise akubali kusona hotuba zilizo andaliwa na ccm.Mbowe anataka kusababisha uvunjaji wa sheria ya uchaguzi kifungu cha 53 kinachotaka media za umma zishirikiane nwa wagombea wa vyama vyote. Akiswaeka uadui na vyombo hivyo vinaweza vishirikiane naye, jna hivyo kuvunjwa kwa kifungu hicho.
Aibu mmeshindwa kuandaa ilani kwa mara nyingine!
Naona baada ya kumaliza mkutano umepewa pesa ya ulinzi umemudu kununua bundle unasumbua sasa!
Wagombea elf10 uliona wapi zaidi ya ccm huko kwenu ukijaribu unaambiwa uonje sumu!Wakati fom mlichapisha moja tu kama taa ya treni ya kwenda kigoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuweni nazo nyinyi nchi mtaisikia kwenye radio!
Ya kuchechemeaKudadadeeeki sasa naona mmeshaanza kutwangana wenyewe kwa wenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Safari hii lazima data zenu lazima zizime tu maana tumeingia kwa staili nyingine kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya kosa kubwa mlilo lifanya ni kushindwa kummaluziaYa kuchechemea
Mwenzako jiwe sasa hivi anafikiria kustaafu siasa maana kastukia watanzania kuwa hawampendi.Kuweni nazo nyinyi nchi mtaisikia kwenye radio!
Kwakuwa wewe ni mlinzi unadhani kila mtu atakuwa ni mlinzi?Naona baada ya kumaliza mkutano umepewa pesa ya ulinzi umemudu kununua bundle unasumbua sasa!
Kama mliweza kuchapisha fom moja tu, unadhani ni makatili kiasi gani hapo lumumba?Wagombea elf10 uliona wapi zaidi ya ccm huko kwenu ukijaribu unaambiwa uonje sumu!
Ilani mlizo nazo nyinyi zingekuwa ni ufunguo wa maendeleo basi Tanzania tungekuwa kama usaAibu mmeshindwa kuandaa ilani kwa mara nyingine!
Mavi ya kima!Mwenzako jiwe sasa hivi anafikiria kustaafu siasa maana kastukia watanzania kuwa hawampendi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu kuwa mwisho wa yoote utatukana tu maana hoja hunaMavi ya kima!