Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken.
Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited?
Mwaka zaidi ya wa3 bado tunaimbishana tu tuko kwenye transformation, tuko kwenye transformation.
Kumbukeni wana Simba as of now simba is not a company limited. Kwa sababu bado kuna transformation inaendelea, Mo Dewji alisikika akisema kuna watu wanakwamisha huo mchakato na angewataja, hadi hajawataja.
Kipi kinachosababisha hadi leo Simba isiwe kampuni?
Mo Dewji kwa mtindo huo anatoa hela kihisani tu na wala asilaumiwe kwa sababu Simba is not a company limited.
Simba haijasajiliwa kwa registrar of companies kwa sababu bado wako kwenye process ya kufika huko kwa msajili.
Wanachama wa Simba kwa sasa wanatakiwa wapambane usiku na mchana kuiomba serikali iwasaidie ili mchakato huo ukamilike na simba isajiliwe kama kampuni
Lakini pia ikumbukwe kuwa Simba ina 51 share capital, Mo Dewji ana 49 of share capital, kwa maana kuwa Simba ndio wanatakiwa wawe na maamuzi katika operations na management ya timu, ila Mo Dewji lazima ashirikishwe katika maamuzi yanayofanyika.Sasa itakuwaje simba iwe kampuni halafu mwenye power ni yule mwenye 49 share capital, hapo ndipo panaposababisha mchakato uwe mgumu pia.
Serikali naomba nije kwenu kama mwanachama halali wa Simba sports club mnipe ufafanuzi kwanini transformation ya Simba inakaribia mwaka wa 5 ss hv haikamilki? Kama simba haiwezi kuwa kampuni basi wanachama waambiwe.
Tunataka transformation ifike mwisho sasa hivi ili tujue kama simba ni kampuni ama la.
Transformation ya Simba itakamilika lini? Hili wanasimba ndio mnatakiwa kupambana nalo.Asubuhi hii naelekea wizarani kufuatilia hayo masuala.
Mimi ndio msomi pekee niliyebaki simba na sio mbumbumbu Kaduguda ambaye maneno mengi uwezo mdogo.