Leo nimeamka vibaya, nakusudia kwenda kumuona Waziri wa Michezo na Waziri wa Viwanda na Biashara kujua Transformation ya Simba itakamilika lini

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Simba kwa sasa sio Company Limited kwa sababu hadi leo transformation haijakamilika, mchakato wa transformation umechukua muda mrefu sana, ni zaidi ya miaka tati sasa if am not mistaken.

Nini kinachosababisha transformation isikamilike ili Simba ikawa Company Limited?

Mwaka zaidi ya wa3 bado tunaimbishana tu tuko kwenye transformation, tuko kwenye transformation.

Kumbukeni wana Simba as of now simba is not a company limited. Kwa sababu bado kuna transformation inaendelea, Mo Dewji alisikika akisema kuna watu wanakwamisha huo mchakato na angewataja, hadi hajawataja.

Kipi kinachosababisha hadi leo Simba isiwe kampuni?

Mo Dewji kwa mtindo huo anatoa hela kihisani tu na wala asilaumiwe kwa sababu Simba is not a company limited.

Simba haijasajiliwa kwa registrar of companies kwa sababu bado wako kwenye process ya kufika huko kwa msajili.

Wanachama wa Simba kwa sasa wanatakiwa wapambane usiku na mchana kuiomba serikali iwasaidie ili mchakato huo ukamilike na simba isajiliwe kama kampuni

Lakini pia ikumbukwe kuwa Simba ina 51 share capital, Mo Dewji ana 49 of share capital, kwa maana kuwa Simba ndio wanatakiwa wawe na maamuzi katika operations na management ya timu, ila Mo Dewji lazima ashirikishwe katika maamuzi yanayofanyika.Sasa itakuwaje simba iwe kampuni halafu mwenye power ni yule mwenye 49 share capital, hapo ndipo panaposababisha mchakato uwe mgumu pia.

Serikali naomba nije kwenu kama mwanachama halali wa Simba sports club mnipe ufafanuzi kwanini transformation ya Simba inakaribia mwaka wa 5 ss hv haikamilki? Kama simba haiwezi kuwa kampuni basi wanachama waambiwe.

Tunataka transformation ifike mwisho sasa hivi ili tujue kama simba ni kampuni ama la.

Transformation ya Simba itakamilika lini? Hili wanasimba ndio mnatakiwa kupambana nalo.Asubuhi hii naelekea wizarani kufuatilia hayo masuala.

Mimi ndio msomi pekee niliyebaki simba na sio mbumbumbu Kaduguda ambaye maneno mengi uwezo mdogo.
 
Mimi nafikiri iwapo Mo angalikuwa anamiliki 51% share angalifanya kwa uharaka ndani ya Miaka 2 Simba ingalikuwa ni Kampuni tayari.
Kwasasa wanaSimba pambaneni na 51% yenu isiyokuwa na nguvu popote kisa hakuna cha maana mnachangia kwenye uhendeshaji wa timu kwa kutoa kiasi chochote cha pesa.
Kibaya zaidi ni kuwa Mo hataki hizo 51% ziuzwe kwa matajiri wengine ili wasije wakamzidi maamuzi ndani ya timu bali aendelee kunyonya timu ya Simba.
Kusema kweli, Mo ndiyo tatizo na pia viongozi wengine nao ni tatizo.
SWALI: Ni kwanini 51% share kama hazina nguvu ya ki maamuzi ndani ya club kwani zisiuzwe ili uendeshaji iwe ya faida? Zinaachwa kwa faida ya nani?
 
Katika swali lako, kwa mifumo yetu ni kwamba simba na yanga ni nembo ya taifa upande wa vilabu, wanafanyi hivi kulinda public interest, akimiliki mtu 1 hiyo 51% anaweza kufanya lolote linaloweza kupelekea kuiua club, kwa maoni yangu tu.
 
Penye maendeo lazima tutaige, yaani Bandari iwekezwe kwa 100% ila vilabu vya mpira ndiyo yawe nembo ya Taifa? Kazi ya TFF ni nini? Lazima wawe na sheria dhabiti kuhakikisha kuwa mwekezaji anaendeleza vilabu siyo kuyarudisha nyuma ki Maendeleo.
TFF ni regulatory lazima isimamie misingi na sheria zake. Wewe hukuona FA walisimamia uuzwaji wa Chelsea.
 
Mimi nafikiri iwapo Mo angalikuwa anamiliki 51% share angalifanya kwa uharaka ndani ya Miaka 2 Simba ingalikuwa ni Kampuni tayari.
Kwasasa wanaSimba pambaneni na 51% yenu isiyokuwa na nguvu popote kisa hakuna cha maana mnachangia kwenye uhendeshaji wa timu kwa kutoa kiasi chochote cha pesa.
Kibaya zaidi ni kuwa Mo hataki hizo 51% ziuzwe kwa matajiri wengine ili wasije wakamzidi maamuzi ndani ya timu bali aendelee kunyonya timu ya Simba.
Kusema kweli, Mo ndiyo tatizo na pia viongozi wengine nao ni tatizo.
SWALI: Ni kwanini 51% share kama hazina nguvu ya ki maamuzi ndani ya club kwani zisiuzwe ili uendeshaji iwe ya faida? Zinaachwa kwa faida ya nani?
Mo anamiliki 49% kivipi, amenunua lini hisa za Simba??.. Na kama alinunua , alilipa cheque kwa benki gani?

Then niambie Alinunua vipi hisa wakati transformation yenyewe bado means hata katiba ya transformation si halalai?
 
Back
Top Bottom