Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,449
Kwanza nianze kwa kusema, kama adhabu za dhambi zinatolewa kwa uzito, basi baada ya Muuaji basi angefuatia mwizi/kibaka na wote katika kundi hiloo.
Sasa nimeelewa ni kwa nini watu hua na roho za kikatili juu ya watu hawa, ni kwa maumivu waliopata.
Mtu unatafuta pesa kwa njia halali na ngumu, unaipata unaamua kuwekeza kwenye bidhaa zako.
Unajitesa na kujibana kupata unachohitaji, Una Punguza starehe Angalau ufanye mambo ya msingi.
Lakini jitihada zote hizi zinamalizwa na mtu mwenye tamaa asiyetaka kufanya kazi, mpenda starehe, mfujaji wa pesa, n.k n.k
Hawa watu wamenipiga vitu vingi sana, Electronics karibuni zote za ndani, Pc, flat, Home theater, jiko la umeme, Desktop, Assets nyingne za kubebeka, simu yenye connection zangu zote za maisha na mambo muhimu sana ndani ya ile simu, Sitaki kuzungumzia thamani katika pesa.
Yaani nilipandwa na hasira sijapata ona, ikawa napita pita mtaani, nisikie mtu anasema mwiziii, nikaondoe hasira zangu zote kwake.
Vijana wenzangu, tujitume, tuwe na hofu ya Mungu na maovuu, Tupunguze starehe tusizo ziweza, tukubali kukosa, Swala la wanawake pia linachangia hili, kumridhisha mwanamke mtu unatafuta pesa haramu, usione ya kua ukifanya hivyo unamuumiza mwenzako.
Mwenye Tabia ya wizi Popote ulaaniwe hata kama ndio unasoma hapa, Pumbavu.