Leo nimeelewa ni kwanini watu huwafanyia wezi ukatili

Leo nimeelewa ni kwanini watu huwafanyia wezi ukatili

Ndani ya nyumba lazima kuwe na nondo au panga lasivyo labda kama nyumba yako umejenga karibu na peponi.
Au labda waibe wakiwa umetoka.

Mimi naishi na nondo siku wezi wakijichanganya basi naondoka na mmoja wao kuzimu.
 
Kwanza nianze kwa kusema, kama adhabu za dhambi zinatolewa kwa uzito, basi baada ya Muuaji basi angefuatia mwizi/kibaka na wote katika kundi hiloo.

Sasa nimeelewa ni kwa nini watu hua na roho za kikatili juu ya watu hawa, ni kwa maumivu waliopata.

Mtu unatafuta pesa kwa njia halali na ngumu, unaipata unaamua kuwekeza kwenye bidhaa zako.

Unajitesa na kujibana kupata unachohitaji, Una Punguza starehe Angalau ufanye mambo ya msingi.

Lakini jitihada zote hizi zinamalizwa na mtu mwenye tamaa asiyetaka kufanya kazi, mpenda starehe, mfujaji wa pesa, n.k n.k

Hawa watu wamenipiga vitu vingi sana, Electronics karibuni zote za ndani, Pc, flat, Home theater, jiko la umeme, Desktop, Assets nyingne za kubebeka, simu yenye connection zangu zote za maisha na mambo muhimu sana ndani ya ile simu, Sitaki kuzungumzia thamani katika pesa.

Yaani nilipandwa na hasira sijapata ona, ikawa napita pita mtaani, nisikie mtu anasema mwiziii, nikaondoe hasira zangu zote kwake.

Vijana wenzangu, tujitume, tuwe na hofu ya Mungu na maovuu, Tupunguze starehe tusizo ziweza, tukubali kukosa, Swala la wanawake pia linachangia hili, kumridhisha mwanamke mtu unatafuta pesa haramu, usione ya kua ukifanya hivyo unamuumiza mwenzako.

Mwenye Tabia ya wizi Popote ulaaniwe hata kama ndio unasoma hapa, Pumbavu.
Mtu anatoka tu out of nowhere anakuja kukuibia. Kwani shida anazo peke yake? Litalomkuta atajua mwenyewe.
 
Usiku huwa nalala nimeweka risasi chamber kabisa nikiamka usiku wa manane nazunguka nyumba taratibu kwa umakini nikiwasubiri hao wezi wajichanganye na siku nikikutana nao nitaua hapohapo Nina kisasi nao cha muda mrefu sana hadi niuwe mmoja ndo kisasi changu kitaisha.

Hawa washenzi wakikuibia ndo utajua kumbe ni watu wasio stahili huruma
Chief wezi upewa nguvu ya wizi na waganga.
Ukiwa na silaha Katu huwezi vamiwa wala kukutana nao Ili ulenge shabaha hata utembee mwezi mzima usiku kucha ukiwasaka.
Yale huwa ni maroho ya wizi ndiyo yanawadrive.
 
Kuna mwizi mmoja mtaani alivunjwa miguu kabakia Dalali wa kuuza vitu vya wizi na kusoma ramani kisha uwatuma ndugu zake kuiba.
Waliniibia flat na radio nikawakamata ndani miezi 8 wakapelekwa garage kipigo cha mbwa koko hadi uliyeibiwa unamuonea huruma.
Wamedai kaka yao mlemavu ndie ajuaye soko kaka yao alikimbia baada ya ndugu zake kukaa ndani.
Nimewaambia wazazi wake popote takapomuona tampokonya Magongo yake hadi itimie pesa yangu niliyonunulia tv na radio.
Na nimewaambia walioniibia nakusubirieni mje tena nimenunua tena tv na radio.
Huwa wanabaki wanajiuma uma ooh braza si tumekaa ndani miezi 8 yote, nimewaambia SAwa sijapata vitu vyangu lazima mrudi ndani
 
Dadeq noma Sana hata Mimi nikija pata pesa za hapa na pale lazima nitanunua manati ya chuma,first wanaojiita vibaka wa Kwenye vichochoro nitaanza deal nao Barabara nikiwa kama.

Street night Walker wakinivizia Ile style Yao ya simama hapo hapo nitakachofanya ni mashine kua loaded na kuwasha fegi,nafanya hivyo kitaa nachoishi

Watajuta nakwambia watakua wanaogopa kukaba Watajua Kila wamuonaye ni Malaika wa kifo!

Pumbafu Sana Hawa vibaka!
Ukiwa na silaha Ili uitumie au ukiwapania ili uwasulubu ni vigumu Sana kukutana nao.
 
Hapa mtaani kumekua na wizi wa flat screen sana.
Sasa tumekuja na suluhisho.
Juzi alikamatwa mmoja watu wakamvua suruali na kuminya kengele. Kengele zilipobadilika na kua Kama uji walimwachia aende zake.
Siku tatu nyingi tunaona Kuna sehemu Kuna maturubhai, ubwabwa maharage kwa sana.
 
Ukiibiwa ndo utajua wanaoa wako sahihi ,wezi sina hamu nao!
 
Mimi nimeapa nikimkamata mwizi kwangu nampa adhabu ndogo 2 halafu namuacha yaani nakata nyama yote ya kwenye nyayo zote za miguu na mikono afu namwacha aende hakika hatonisahau
We jamaa katili Sana[emoji2]
 
Hapa mtaani kumekua na wizi wa flat screen sana.
Sasa tumekuja na suluhisho.
Juzi alikamatwa mmoja watu wakamvua suruali na kuminya kengele. Kengele zilipobadilika na kua Kama uji walimwachia aende zake.
Siku tatu nyingi tunaona Kuna sehemu Kuna maturubhai, ubwabwa maharage kwa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]saafi kabisa
 
Kumbuka hawa ndio wanachangia ajira za polisi, wanasheria, wapishi, magereza na viongozi wa dini, wezi hawa ambao wewe unawaona wabaya wakiacha kazi yao hao niliowataja wataandamana kwa kukosa ajira.
Wezi, majambazi wachawi waganga ni kundi moja boss wao mmoja awafai kuwepo kwenye Jamii.
Ulaya waliwabullets wote ukikamatwa mwizi chuma,ukikamatwa mchawi chuma wakawasafisha wote ndo wakawa na maendeleo.
Makundi haya ndio chanzo cha matatizo kwenye Jamii, urudisha nyuma Sana maendeleo.
Rwanda wamewabullets sana leo unatembea kwa amani usiku
 
Hujaelewa soma Tena alichoandika jamaa
Simu tu unalia, mpaka kutamani kuua? Watu wanapukutishwa Radio, TV, godoro, kila kitu ndani. Kibaya zaidi wamegonga hadi kipolo cha kumalizia hasira asubuhi. Kama haitoshi unatoka nje, mbwa wote wa 3 chali wamepigwa sumu
 
Nashauri ulimkamata mwizi usithubutu kumpiga wala kumjeruhi. Chukua saruji mkorogee kama kikombe anywe afu muachie aende zake.
Kuna watu walikamata mwizi wakakosa petrol akapita nyoka wakamuua wakamlazimisha mwizi amtafune mbichi
 
Hapa mtaani kumekua na wizi wa flat screen sana.
Sasa tumekuja na suluhisho.
Juzi alikamatwa mmoja watu wakamvua suruali na kuminya kengele. Kengele zilipobadilika na kua Kama uji walimwachia aende zake.
Siku tatu nyingi tunaona Kuna sehemu Kuna maturubhai, ubwabwa maharage kwa sana.
Kina mama wa uswahilini ndio wanufaika wa wezi watoto wao uiba mabinti zao udanga Ili wale
 
Mwizi anavizia either haupo au umelala, hizo silaha Hadi umuone
Ndani ya nyumba lazima kuwe na nondo au panga lasivyo labda kama nyumba yako umejenga karibu na peponi.
Au labda waibe wakiwa umetoka.

Mimi naishi na nondo siku wezi wakijichanganya basi naondoka na mmoja wao kuzimu.
 
Mimi binafsi wezi wote nina kisasi nao cha milele kwa ubaya walionifanyia......hata nikikuta amefariki nitampiga hata konzi ili tu nafsi yangu isuuzike.........
 
Wezi, majambazi wachawi waganga ni kundi moja boss wao mmoja awafai kuwepo kwenye Jamii.
Ulaya waliwabullets wote ukikamatwa mwizi chuma,ukikamatwa mchawi chuma wakawasafisha wote ndo wakawa na maendeleo.
Makundi haya ndio chanzo cha matatizo kwenye Jamii, urudisha nyuma Sana maendeleo.
Rwanda wamewabullets sana leo unatembea kwa amani usiku
Dah hayo makundi ni sumu...utawaonea huruma kama hawajawahi kukupiga tukio..ila hawafai hata kidogo..takataka kabisaa...wachawi hawafai kabisa,mbwa kabisaaa...wezi taka oza kabisa plus majambazi taka funza kabisaa...
 
Kuna mitaa usiombe uitiwe mwizi utajuta watu wanahasira aisee mtu anarusha tofali utasema anaemrushia sio mtu,ile yakuchoma imepungua siku izi,,,nawachukia wezi na washawahi niibia sana but I don’t wish them dead bora wapate kipigo tu,kuna mmoja alikamatwa wakamkata kidole aisee alikua anatia huruma
 
Back
Top Bottom