Leo nimeelewa ni kwanini watu huwafanyia wezi ukatili

Ndani ya nyumba lazima kuwe na nondo au panga lasivyo labda kama nyumba yako umejenga karibu na peponi.
Au labda waibe wakiwa umetoka.

Mimi naishi na nondo siku wezi wakijichanganya basi naondoka na mmoja wao kuzimu.
 
Mtu anatoka tu out of nowhere anakuja kukuibia. Kwani shida anazo peke yake? Litalomkuta atajua mwenyewe.
 
Chief wezi upewa nguvu ya wizi na waganga.
Ukiwa na silaha Katu huwezi vamiwa wala kukutana nao Ili ulenge shabaha hata utembee mwezi mzima usiku kucha ukiwasaka.
Yale huwa ni maroho ya wizi ndiyo yanawadrive.
 
Kuna mwizi mmoja mtaani alivunjwa miguu kabakia Dalali wa kuuza vitu vya wizi na kusoma ramani kisha uwatuma ndugu zake kuiba.
Waliniibia flat na radio nikawakamata ndani miezi 8 wakapelekwa garage kipigo cha mbwa koko hadi uliyeibiwa unamuonea huruma.
Wamedai kaka yao mlemavu ndie ajuaye soko kaka yao alikimbia baada ya ndugu zake kukaa ndani.
Nimewaambia wazazi wake popote takapomuona tampokonya Magongo yake hadi itimie pesa yangu niliyonunulia tv na radio.
Na nimewaambia walioniibia nakusubirieni mje tena nimenunua tena tv na radio.
Huwa wanabaki wanajiuma uma ooh braza si tumekaa ndani miezi 8 yote, nimewaambia SAwa sijapata vitu vyangu lazima mrudi ndani
 
Ukiwa na silaha Ili uitumie au ukiwapania ili uwasulubu ni vigumu Sana kukutana nao.
 
Hapa mtaani kumekua na wizi wa flat screen sana.
Sasa tumekuja na suluhisho.
Juzi alikamatwa mmoja watu wakamvua suruali na kuminya kengele. Kengele zilipobadilika na kua Kama uji walimwachia aende zake.
Siku tatu nyingi tunaona Kuna sehemu Kuna maturubhai, ubwabwa maharage kwa sana.
 
Ukiibiwa ndo utajua wanaoa wako sahihi ,wezi sina hamu nao!
 
Mimi nimeapa nikimkamata mwizi kwangu nampa adhabu ndogo 2 halafu namuacha yaani nakata nyama yote ya kwenye nyayo zote za miguu na mikono afu namwacha aende hakika hatonisahau
We jamaa katili Sana[emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3]saafi kabisa
 
Kumbuka hawa ndio wanachangia ajira za polisi, wanasheria, wapishi, magereza na viongozi wa dini, wezi hawa ambao wewe unawaona wabaya wakiacha kazi yao hao niliowataja wataandamana kwa kukosa ajira.
Wezi, majambazi wachawi waganga ni kundi moja boss wao mmoja awafai kuwepo kwenye Jamii.
Ulaya waliwabullets wote ukikamatwa mwizi chuma,ukikamatwa mchawi chuma wakawasafisha wote ndo wakawa na maendeleo.
Makundi haya ndio chanzo cha matatizo kwenye Jamii, urudisha nyuma Sana maendeleo.
Rwanda wamewabullets sana leo unatembea kwa amani usiku
 
Hujaelewa soma Tena alichoandika jamaa
Simu tu unalia, mpaka kutamani kuua? Watu wanapukutishwa Radio, TV, godoro, kila kitu ndani. Kibaya zaidi wamegonga hadi kipolo cha kumalizia hasira asubuhi. Kama haitoshi unatoka nje, mbwa wote wa 3 chali wamepigwa sumu
 
Nashauri ulimkamata mwizi usithubutu kumpiga wala kumjeruhi. Chukua saruji mkorogee kama kikombe anywe afu muachie aende zake.
Kuna watu walikamata mwizi wakakosa petrol akapita nyoka wakamuua wakamlazimisha mwizi amtafune mbichi
 
Kina mama wa uswahilini ndio wanufaika wa wezi watoto wao uiba mabinti zao udanga Ili wale
 
Mwizi anavizia either haupo au umelala, hizo silaha Hadi umuone
Ndani ya nyumba lazima kuwe na nondo au panga lasivyo labda kama nyumba yako umejenga karibu na peponi.
Au labda waibe wakiwa umetoka.

Mimi naishi na nondo siku wezi wakijichanganya basi naondoka na mmoja wao kuzimu.
 
Mimi binafsi wezi wote nina kisasi nao cha milele kwa ubaya walionifanyia......hata nikikuta amefariki nitampiga hata konzi ili tu nafsi yangu isuuzike.........
 
Dah hayo makundi ni sumu...utawaonea huruma kama hawajawahi kukupiga tukio..ila hawafai hata kidogo..takataka kabisaa...wachawi hawafai kabisa,mbwa kabisaaa...wezi taka oza kabisa plus majambazi taka funza kabisaa...
 
Kuna mitaa usiombe uitiwe mwizi utajuta watu wanahasira aisee mtu anarusha tofali utasema anaemrushia sio mtu,ile yakuchoma imepungua siku izi,,,nawachukia wezi na washawahi niibia sana but I don’t wish them dead bora wapate kipigo tu,kuna mmoja alikamatwa wakamkata kidole aisee alikua anatia huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…