Leo nimeelewa ni kwanini watu huwafanyia wezi ukatili

Mkuu pole Sana,mm nimewahi kuibiwa,nikafanikiwa kumkata mwizi wangu nikampeleka mahakani,huko akanishinda kesi, yaaaani!!,niliumia Sana mwizi,anakkera Sana,pole Sana mkuu aise!
 
Mwizi tunaemsema hapa Ni Yul aliyeruka ukuta with intent to harm or to steal au yule tuliyemshika red handed na pikipiki ya wizi au tuliyemkamata na Mali ya wizi.
Hawa wa kudhaniwa tunawaachia polisi wapate pesa ya kiwi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
***** hiyoo roho labda nivute bangi kwanza.
Kaka. Hujawahi kuibiwa simu na laptop zenye taarifa muhimu?
Hujawahi kuibiwa michango ya harusi halafu harusi Ni mwezi ujao?
 
Mwaka 2021 ulikuwa nuksi mno kwangu... Marafiki zangu walivunja ofisi mara mbili na wakaiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bora nicheke tu
 
Kuna habari tena kama sikosei ilipostiwa humu 2015

Jamaa alienda kudai pesa zake...wakati anaondoka mdaiwa akapiga yowe la mwizi...wananchi wenye hasira kali wakajitokeza wakampiga jamaa anayedai hadi kufa
 
Siku wanakuja hutoamin hata silaha yako hutotumia
 
Hakuna kitu kinaniudhi kama polisi kuwauwa majambazi wanajitokeza wangese kuwatetea majambazi hao.

Kuna mwaka fulani nilikuwa nasafiri toka Mtukula kuja Karagwe tukamkuta hakimu wa wilaya fulani ametekwa pamoja na familia yake. Nao hao majambazi wakamnanihii mke wa hakimu huyo eti kwa nini hawana hela. Tena mbele ya mmewe na watoto wao. Tangia siku hiyo nilimchukia sana mtu anaiyeitwa jambazi.
 
yale ya mbosso anaiba katika ile nyimbo ili kumridhisha demu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hamuendi peponi
 
Mkewe atoe hyo mimba atazaa kajambazi
 
Wizi na uchangudoa mtu akishazama huko ni ngumu kutoka, huwezi ukamwambia changu au kibaka waache Kazi hizo haramu hata ukiwapa milioni 10 miezi 2 pesa zote zimekwisha kwenye starehe.
 
tinaishi kama wanyama mbugani ili maisha yaemdelee lazima mmoja awe mnyonge. Usiue mwizi peleka polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ