Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 502
- 1,141
Nilikuwa simfuatilii Polepole 🥲Mbona Polex2 alishasema yote? We umejua leo, slow learner nini?
Nilikuwa simfuatilii Polepole 🥲
Samia anakula anafuja, yeye na mwanae Abdul. Hapo ndipo yanaingia makundi mengine, kundi la wanamtandao ndilo kundi linalokula zaidi pamoja na kwamba kuna vikundi vingine vikiongozwa na wale walio kwenye channels za ulaji kama Mwigulu and the likes.Leo nimekaa nikawaza huenda kuna watu wapo in charge badala ya Samia
Inawezekana kuna familia kadhaa zinakula hela za nchi hii na kurithishana huku wanamtumia Samia kama kivuli kuficha ufisadi wao 🤷
Labda Samia analazimishwa kung'ang'ania Urais ili tu hizi familia zipate kula mali za taifa. Maybe kuna adui in background ambaye wananchi hatumjui
Hata watu wanaotekwa kisa kukosoa serikali, inawezekana sio Samia anayewatuma watekaji. Labda hizi familia chache zimeandaa mkono mrefu ambao unaweza kumfikia yoyote yule atakayeingilia ufisadi wao
Mbona akili yangu inaniambia kuna kikundi fulani cha watu kinakula nchi nyuma ya pazia, halafu Samia anapelekeshwa na hawa watu na lawama zote anazibeba yeye mama wa watu 😥😥
Huu sio kwamba ndio uhalisia, ila ni mawazo yangu tu 🥲
Mkuu unataka nani alaumiwe Sasa Wakati unajua fika yeye ndo mkuu wa Dola?Leo nimekaa nikawaza huenda kuna watu wapo in charge badala ya Samia
Inawezekana kuna familia kadhaa zinakula hela za nchi hii na kurithishana huku wanamtumia Samia kama kivuli kuficha ufisadi wao 🤷
Labda Samia analazimishwa kung'ang'ania Urais ili tu hizi familia zipate kula mali za taifa. Maybe kuna adui in background ambaye wananchi hatumjui
Hata watu wanaotekwa kisa kukosoa serikali, inawezekana sio Samia anayewatuma watekaji. Labda hizi familia chache zimeandaa mkono mrefu ambao unaweza kumfikia yoyote yule atakayeingilia ufisadi wao
Mbona akili yangu inaniambia kuna kikundi fulani cha watu kinakula nchi nyuma ya pazia, halafu Samia anapelekeshwa na hawa watu na lawama zote anazibeba yeye mama wa watu 😥😥
Huu sio kwamba ndio uhalisia, ila ni mawazo yangu tu 🥲
Mimi simpendi huyu mama, kuna thread niliandika humu kuhusu kutomkubali Samia juzijuzi tuHivi nyie wakina Luca mnashida gani? Mbona mnapenda kumtetea sana sa100, yule mwenzako Luka mashamba ndo kabisa huwa hatumuelewi.
Ila ni kweli, maana nchi yetu kila kitu tunategemea Rais so lawama zote zinaenda kwake. Viongozi wengine wamelala tuMkuu unataka nani alaumiwe Sasa Wakati unajua fika yeye ndo mkuu wa Dola?
Vipi Taarifa za kifo za Aly kibao si alisema kifo ni kifo tu?
Wewe unamsongo wa mawazo Samia hakwepi lawana ya aina yoyote Ile hata kama nikijikwa nikavunjika mguu nilienda hospital nikakoswa dawa Lawama zinaenda Moja Kwa Moja kwake!
Huenda anaogopa kuuliwa kama Magufuli 😑Ata kama ni kweli, bado yeye ni rais ana nafasi kubwa ya kubadili upepo.
Kutambua hayo unayoyasema wala haihitaji hotuba yeyote ile ya polepoleNilikuwa simfuatilii Polepole 🥲
Hii nayo inawezekanaHuenda anaogopa kuuliwa kama Magufuli 😑
Chuki zako binafsi na ujinga wako wala haumpungumzii chochote kile Rais wetu Mpendwa. Maana anakubalika ,kupendwa na kuaminika sana kwa watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua.Mimi simpendi huyu mama, kuna thread niliandika humu kuhusu kutomkubali Samia juzijuzi tu
Ila leo nikawaza huenda Samia anapelekeshwa, sio kwamba napenda kumtetea. La hasha
Mimi sio kama Lucas Mwashambwa