Leo nimefikiria tu nikahisi, huenda tunamlaumu bure tu Samia

Chuki zako binafsi na ujinga wako wala haumpungumzii chochote kile Rais wetu Mpendwa. Maana anakubalika ,kupendwa na kuaminika sana kwa watanzania wote wenye akili Timamu na wanaojitambua.
Hivi Samia akitoka madarakani 2030 utafanya nini? Utakuwa chawa wa Rais anayefuata?
 
Nooo samia ni mhusika 💯
 
Mimi simpendi huyu mama, kuna thread niliandika humu kuhusu kutomkubali Samia juzijuzi tu
Ila leo nikawaza huenda Samia anapelekeshwa, sio kwamba napenda kumtetea. La hasha
Mimi sio kama Lucas Mwashambwa
Kama ni hivyo ni vizuri sana, ukweli sidhani kama kunamwingine aliyepo nyuma ya Sa100 zaidi ya Kikwete.
 
Kinachomponza huyu Mama ni upole ndo maana taasisi ya u Rais inachezewa imefika hatua Padre kitime kanywa pombe zimemzidia akaangukia kichwa chooni alafu anasema Rais kamtuma mtu amtandike rungu
 
Wewe ni faler sana
 
Kinachomponza huyu Mama ni upole ndo maana taasisi ya u Rais inachezewa imefika hatua Padre kitime kanywa pombe zimemzidia akaangukia kichwa chooni alafu anasema Rais kamtuma mtu amtandike rungu
Sijajua kumbe “anko t” upo JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…