Leo nimefurahi sana kumsikia Tundu Lissu akisema yale ambayo nimekuwa nikiyasema kwa miaka mingi!

May be a passive strategy but it wont work at least significantly.

CCM ina vyama vingi sana vya kuiunga mkono and they can do anything to remain in power.

CDM wakisusa anapewa ACT, na wote wawili wakisusa CUF will be back on it gain...

then CUF kinaitwa chama kikuu cha upinzani.

Tusubir mapambano.
 
Kuna usemi unasema "The best way to control opposition is to lead it yourself" kama sijakosea.

Vladmir Lenin — 'The best way to control the opposition is to lead it ourselves.'

Kwa Kimatumbi - ' Mzigo mzito mpe Mnyamwezi.'
 
hapakua na jipya lililowahusu wananchi, ispokua lile la kuwaomba wamchangie pesa pocket money tu,

mengine yote ni binafsi yakuhusu vyeo na madaraka tu

maelezo mareeefu pumba tupu
 
Vyama vingi Tanzania ni insignificant sana.

Hivyo vyama vilivyo insignificant visiwafanye watu wakate tamaa.

Hata Afrika Kusini enzi za Apartheid, si vyama vyote vya weusi vilivyoshiriki harakati za kuupinga ubaguzi wa rangi.
 
Uchaguzi Mkuu wa 2025 uko palepale bila kujali chama gani kinashiriki ama la. Chadema kususa ni jadi yao. Wakitaka kujifanya M23 waambieni hii ni Tanzania. They'll perish!!!!
 
Naona umejielezea vizuri sana kuhusu pumba utemazo hapa JF 🤣.
hawezi kuhadaa watu kwama ana mkutano nao, kumbe anataka kuomba kuchangiwa pesa tu,

afanye kazi, ataomba kuchangiwa mpaka lini kibaraka asie na aibu huyo?
 
CCM Kutokua fair kwenye mambo mengi na kutojali usawa kwenye Sera zake nyingi inaonesha namna gani hawako civilised ni washenzi wanaofanya ushenzi katika dunia ambayo ilishabadilika kifikra kiasi kila mwenye akili timamu huwadharau na wanajifutia legacy yao hata ndogo iliobakia
 
Kwa muhimu wa TAL sio kwamba CDM watasusia uchaguzi, bali watahakikisha uchaguzi hautafanyika. Hivyo CCM na hivyo vyama vingine havitaweza kushiriki uchaguzi kwa sababu hautakuwepo
 
Mwenye masikio na asikie, hususani viongozi na wanachama wa vyama vingine vya upinzani. Kama vyama vyote vya upinzani vitasimama pamoja katika hili, Serikali yetu dhalimu lazima itabwaga manyanga! Bila wapinzani wote kuwa on the same page, lesser known political parties zitaendelea kutumika unwittingly kubariki chaguzi haramu!
 
Usitudanganye ulikwenda na upepo wa sukuma ya Chattle.

Wewe ni Mkabila tu. Huna objective intentions
Wewe una ‘objective intentions’, whatever that may mean, lakini una shindwa kujadili hoja, unapambana na mtoa hoja!
 
hawezi kuhadaa watu kwama ana mkutano nao, kumbe anataka kuomba kuchangiwa pesa tu,

afanye kazi, ataomba kuchangiwa mpaka lini kibaraka asie na aibu huyo?
Umeishiwa kabisa hoja umebaki kutoa viroja tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…