Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
UtajijuaDumb dumb! You’ve lost the privilege to engage with me.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UtajijuaDumb dumb! You’ve lost the privilege to engage with me.
Kuna usemi unasema "The best way to control opposition is to lead it yourself" kama sijakosea.
I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.
Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.
Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.
Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia
masikio.
Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa nikikihubiri miaka nenda rudi, hapa JF na kwingineko.
Na hicho ni hakuna kushiriki chaguzi za maigizo mpaka pawepo na mabadiliko ya kweli ya namna ambavyo chaguzi zetu zinavyoendeshwa.
View: https://youtu.be/ZxRytUvLb6A?si=3KluAQKBpWx0ccSd
Nimeandika mara nyingi sana kuhusu hili jambo, tokea 2006 [ na kabla ya hapo kwingineko kwenye mitandao ya mijadala].
2020 baada ya uchaguzi mkuu, nilianzisha hii mada;
Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?
Swali kwa wapinzani. Kwani mngegomea kushiriki haya maigizo ya uchaguzi wa 2020, mngepungukiwa na nini? Na hivi mlivyoshiriki, mme-gain nini? Mimi msimamo wangu uko wazi. Unajulikana. Hakuna kushiriki chaguzi za maigizo ambazo mtu hauhitaji hata uwe genius kujua matokeo yake yatakuwaje...www.jamiiforums.com
Mapema mwaka jana, 2024, nilileta hii mada hapa pia;
Pre GE2025 - Useful pointers to CHADEMA: Civil disobedience and passive resistance
CHADEMA, Kwa vile sasa mmeshakiri rasmi kwamba CCM wamewacheza [played you], hamna budi kujaribu mbinu nyinginezo katika harakati zenu za kuleta mabadiliko ya kisiasa. Civil disobedience na passive resistance. Hamasisheni watu waanze kugomea matendo ya serikali ya CCM. Mifano: 1...www.jamiiforums.com
Hizi mada mbili zina-dovetail vizuri sana na maudhui ya kile alichokiongea Lissu leo.
Nimefurahi sana kumsikia Lissu akiongea jinsi alivyokuwa akiongea. Ni mwanzo mzuri sana.
Sasa kilichobaki ni kupanga mikakati na kufanya utekelezaji wake mpaka yapatikane matokeo tunayoyatamani na kuyataka.

Naona umejielezea vizuri sana kuhusu pumba utemazo hapa JF 🤣.hapakua na jipya lililowahusu wananchi, ispokua lile la kuwaomba wamchangie pesa pocket money tu,
mengine yote ni binafsi yakuhusu vyeo na madaraka tu
maelezo mareeefu pumba tupu![]()
Kwa lissu au kuna mwengine? Swali tuAmbacho CCM hawana ni udhibiti wa fikra, nia, ari, na nguvu za wananchi.
Tukiamua kwa umoja, ndani ya siku chache tu CCM inasalimu amri.
Vyama vingi Tanzania ni insignificant sana.May be a passive strategy but it wont work at least significantly.
CCM ina vyama vingi sana vya kuiunga mkono and they can do anything to remain in power.
CDM wakisusa anapewa ACT, na wote wawili wakisusa CUF will be back on it gain...
then CUF kinaitwa chama kikuu cha upinzani.
Tusubir mapambano.
I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.
Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.
Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.
Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia
masikio.
Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa nikikihubiri miaka nenda rudi, hapa JF na kwingineko.
Na hicho ni hakuna kushiriki chaguzi za maigizo mpaka pawepo na mabadiliko ya kweli ya namna ambavyo chaguzi zetu zinavyoendeshwa.
View: https://youtu.be/ZxRytUvLb6A?si=3KluAQKBpWx0ccSd
Nimeandika mara nyingi sana kuhusu hili jambo, tokea 2006 [ na kabla ya hapo kwingineko kwenye mitandao ya mijadala].
2020 baada ya uchaguzi mkuu, nilianzisha hii mada;
Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?
Swali kwa wapinzani. Kwani mngegomea kushiriki haya maigizo ya uchaguzi wa 2020, mngepungukiwa na nini? Na hivi mlivyoshiriki, mme-gain nini? Mimi msimamo wangu uko wazi. Unajulikana. Hakuna kushiriki chaguzi za maigizo ambazo mtu hauhitaji hata uwe genius kujua matokeo yake yatakuwaje...www.jamiiforums.com
Mapema mwaka jana, 2024, nilileta hii mada hapa pia;
Pre GE2025 - Useful pointers to CHADEMA: Civil disobedience and passive resistance
CHADEMA, Kwa vile sasa mmeshakiri rasmi kwamba CCM wamewacheza [played you], hamna budi kujaribu mbinu nyinginezo katika harakati zenu za kuleta mabadiliko ya kisiasa. Civil disobedience na passive resistance. Hamasisheni watu waanze kugomea matendo ya serikali ya CCM. Mifano: 1...www.jamiiforums.com
Hizi mada mbili zina-dovetail vizuri sana na maudhui ya kile alichokiongea Lissu leo.
Nimefurahi sana kumsikia Lissu akiongea jinsi alivyokuwa akiongea. Ni mwanzo mzuri sana.
Sasa kilichobaki ni kupanga mikakati na kufanya utekelezaji wake mpaka yapatikane matokeo tunayoyatamani na kuyataka.
hawezi kuhadaa watu kwama ana mkutano nao, kumbe anataka kuomba kuchangiwa pesa tu,Naona umejielezea vizuri sana kuhusu pumba utemazo hapa JF 🤣.

Dollar ya usa ?Kama hadi Mwandamizi wa Sukuma Gang umemkubali Lissu basi Lissu hana kipingamizi kukamata Dola.
Mungu azidi kumwezesha!
Kwa muhimu wa TAL sio kwamba CDM watasusia uchaguzi, bali watahakikisha uchaguzi hautafanyika. Hivyo CCM na hivyo vyama vingine havitaweza kushiriki uchaguzi kwa sababu hautakuwepoHapo changamoto itakua kushawishi vyama vingine vigomee pia ndio itakua na IMPACT kubwa..... yaani Fisiemu waende kwenye uchaguzi peke yao
Lakini ikigomea CDM pekee CCM inaweza kuwapa ACT na vyama vingine ubunge wa viti kadhaa na madiwani ikaleta picha ya CDM wamegomea kwa hofu yao tu na kiburi
I just call balls and strikes. Never blinded by fanaticism.
Hakuna aliye juu ya kukosolewa na hakuna aliye chini ya kupongezwa.
Ukitenda sawa, ukifanya vyema, nitakupongeza.
Ukiharibu, nitakuchana tu. Sitokufumbia macho wala kukuzibia
masikio.
Alichokiongea Tundu Lissu leo ndicho nimekuwa nikikihubiri miaka nenda rudi, hapa JF na kwingineko.
Na hicho ni hakuna kushiriki chaguzi za maigizo mpaka pawepo na mabadiliko ya kweli ya namna ambavyo chaguzi zetu zinavyoendeshwa.
View: https://youtu.be/ZxRytUvLb6A?si=3KluAQKBpWx0ccSd
Nimeandika mara nyingi sana kuhusu hili jambo, tokea 2006 [ na kabla ya hapo kwingineko kwenye mitandao ya mijadala].
2020 baada ya uchaguzi mkuu, nilianzisha hii mada;
Kwani mngegomea, mngepungukiwa na nini?
Swali kwa wapinzani. Kwani mngegomea kushiriki haya maigizo ya uchaguzi wa 2020, mngepungukiwa na nini? Na hivi mlivyoshiriki, mme-gain nini? Mimi msimamo wangu uko wazi. Unajulikana. Hakuna kushiriki chaguzi za maigizo ambazo mtu hauhitaji hata uwe genius kujua matokeo yake yatakuwaje...www.jamiiforums.com
Mapema mwaka jana, 2024, nilileta hii mada hapa pia;
Pre GE2025 - Useful pointers to CHADEMA: Civil disobedience and passive resistance
CHADEMA, Kwa vile sasa mmeshakiri rasmi kwamba CCM wamewacheza [played you], hamna budi kujaribu mbinu nyinginezo katika harakati zenu za kuleta mabadiliko ya kisiasa. Civil disobedience na passive resistance. Hamasisheni watu waanze kugomea matendo ya serikali ya CCM. Mifano: 1...www.jamiiforums.com
Hizi mada mbili zina-dovetail vizuri sana na maudhui ya kile alichokiongea Lissu leo.
Nimefurahi sana kumsikia Lissu akiongea jinsi alivyokuwa akiongea. Ni mwanzo mzuri sana.
Sasa kilichobaki ni kupanga mikakati na kufanya utekelezaji wake mpaka yapatikane matokeo tunayoyatamani na kuyataka.
Wewe una ‘objective intentions’, whatever that may mean, lakini una shindwa kujadili hoja, unapambana na mtoa hoja!Usitudanganye ulikwenda na upepo wa sukuma ya Chattle.
Wewe ni Mkabila tu. Huna objective intentions
Upinzania Tanzania kwa sasa ni Chadema tu na hakuna shida yeyote wakiwa na hilo azimio. Wengine wanajulikana vibarakaIngependeza zaidi hili lingekuwa ni azimio la pamoja la vyama vyote vya upinzani
Umeishiwa kabisa hoja umebaki kutoa viroja tu!hawezi kuhadaa watu kwama ana mkutano nao, kumbe anataka kuomba kuchangiwa pesa tu,
afanye kazi, ataomba kuchangiwa mpaka lini kibaraka asie na aibu huyo?![]()