Leo nimegundua kwanini watu wakifumaniana wanafanya ukatili

Niliwahi mweleza mwenza .
Me sina solution tofauti na kuwamaliza wote wawili.

Nashukuru alinielewa vizuri.
Haha drama
unamaliza wote wawili as if ni maembe mtini au?
Human life is placed at very high value , to take it comes with it very high costs too.
Uuwee watu wawili halafu we mwenyewe unabaki wapi baada ya tukio hilo ? Worth it? , Yaani niharibu mipango yangu amabayo inaweza kunifanya hadi nichakate papuchi za kiarabu kwa ajili ya kumfumania mke? Hell no
 
Ni Kwanini tunaamini kwamba utakayemfumania atakuwa dhaifu uweze kumpiga au kumjeruhi?unaweza kufumania na ukala kipigo chap chap.

Nilishuhudia jirani yangu hapa Tabata alitoka ofisini kwake mchana kwenda nyumbani akagundua mkewe yuko na kidume ndani,jamaa alokuwa ndani akafungua mlango akampiga mwenye mke ngumi za maana akazimia.Mgoni akasepa bila rapsha na point zote
 
Binafsi siombi nimfumanie mke wangu ,bali ikitokea nikamfumania mgoni wangu nitampa sharti moja tu,nitamwagiza mke wangu ampikie ugali wa kushiba kisha nitahitaji mgoni wangu ale wote akimaliza nitamuomba aondoke na nitamuamuru mke wangu amsindikize,hakika sitotoa adhabu yoyote ile kwa mke au mgoni wangu na sitohoji chochote juu ya tukio lililotokea
 
Pressure lazima tu mkuu hata km una stress za maisha lakini mke akingua lazima uyumbe zaidi ndo maana tunaambiwa jitahdi kutafuta mwenza sahihi.
 
Chief!! Usidanganyike na bikra maana hata hao wanaochepuka zamani walikuwa bikra, Bikra siyo guarantee ya kutochepuka!!
Mm niliishi na nilie kuta hana bikira kwa kweli nilikua sina imani san ila kwa huyu nimeshazaa nae watoto watatu hata wakija mchakachua haiumi sana km ww ukute makapi
 
Pressure lazima tu mkuu hata km una stress za maisha lakini mke akingua lazima uyumbe zaidi ndo maana tunaambiwa jitahdi kutafuta mwenza sahihi.
Kwa sisi wakatoliki ukioa umeoa.. na sisi tulio busy kuingia kwenye drama za kununua ndoa ndio hatuwezi kabisa mkuu... btw kwani tunaish miaka mingap duniani hapa mzee?
 
Duniani kazi sana..kuna uzi wa ndugu yetu Ricky boy kule nilijaribu kuupitia ndani ya dk 12 tuu nikalog off

Umeshauri vizuri na pia kumchunga mke/mume moja ya kazi ngumu sana! Anakojozwa kwenye kona tuu ndani ya dk 8 biashara inaisha mwanaume huna hili wala lile.

Kwa mwezi kashadungwa zaidi ya mara 2
 
Haya ni maamuzi ya busara sana.
 
Kwani yeye ndiye aliyeandika hizo sheria?nasema hivi ni ujinga mkubwa sana, kumfumania mke wako, na kumuua mgoni wako, hapo ambaye hana akili ni mke wako!!yaani ukafie jela kisa mwanamke?!!mimi kama ni ndugu yako, hutaniona nakuja kukusalimia magereza!!kutokana na upumbafu ulioufanya!!mala mia ingekuwa umekula miaka kwa ujambazi, ningeweza sema labda kama ungefanikiwa ungeweza nikumbuka, lakini papuchi hapana!!!
 
Eti jamaaa anamfokoa 🤣🤣🤣🤣
Hatari tena ukute kampindisha style ya mbuzi kagoma kwenda jamaa anapiga takle za ukweli.

Jamani wanawake sio wakuwaamini...tuishi nao tukiwa tunajua kuwa wao kugegedwa ni kawaida tuu.
 
💯
 
Upo sahihi kabisa. Watu wengi wapo blinded, wanashindwa kuona uhalisia wa tabia ya binadamu. Likitokea jambo wanajifanya too surprised! Unataka kuadhibu kosa la ugoni kama kosa la kufisha kumbe ni tabia na asili ya wanadamu tu, mkeo kakubali mwenyewe hajabakwa unataka umue mwenzio au kumfanyia mateso ya kinyama yasiyoelezeka. Hebu tuwe na utu wazee, wakati mwingine anayehukumu mgoni wake unakuta naye ni mchepukaji mzuri tu.
 
Naomba nisisitize kuacha mke si jambo jepesi.
 

Ndio maana kuna mdau juu kasema watu wanaohangaika na mapenzi ni wale masikini. Kiuhalisia anachokiongea huyu jamaa ni kwamba yeye maisha yake yapo mikononi kwa mke wake. Kwamba akimfumania tu, huo ndio unakua mwisho wa maisha ya wote watatu (anaua mke na mgoni na yeye anaenda kufia/kuozea jela!)

Kwa mtu ambae una mipango ya maana,una watu wanaokutegemea, unaheshimika, una miradi ya kusimamia, una hela za kula maisha mjini hapa, unajua unaweza kupata mwanamke yoyote unaemtaka, huwezi kuwa na akili ya kipumbavu kama hiyo kamwe.
 
Mie sintomfanya chochote mgoni wangu sema ntampiga tukio ambalo hatoamini maisha yake mixer kumla hata mama yake mzazi
 
Mambo ya ndoa ni magumu kwa kweli,Huyo Mpya unaemuoa mkishazoeana naye atagongwa nje tena,yani wanawake kugongwa nje imekuwa kama fashion fulani.
 
Halafu wakati huo utakuwa unaendelea kumla mke wa ndoa au unamwambia tu aendelee na mchepuko wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…