Leo nimegundua kwanini watu wakifumaniana wanafanya ukatili


Haya mkuu tuishie hapa tu labda hatujaelewana vizuri.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] for sure
 
Ahsante kwa mawazo na muda wako, Samahani kama hutojali naomba kujua umri wako, pengine ulishawahi kuwa na ndoa ukaumwizwa na kukata tamaa jumla (usiogope tunatumia akaunti bandia) na wala siyo kwa nia mbaya.

1. 54 years

2. Sijawahi, am a senior bachelor with strings attached (mtu fudenge wangu 🥰).
 
Mgeni
Penal code ngumu ni changamoto kwa hilo swala la fumanizi , ni complex na haitotokea kupata penal code sensitive .
Hao wanaotakiwa kutunga sheria hiyo angalia nyendo zao kwanza wakiwa dodoma full kuruka na wake za watu !!! Lakini tusiishie hapo hebu msome Jokajeusi vizuri , utajua level ya mke wa mtu inapoanzia , halafu ndio ufanye tathmini kutoka hapo.utqgundua pengine hata wewe umeoa mke wa mtu na Siku yoyote anaweza kufanya revenge .
Ni gumu hili swala kama tunataka tuongeee ukweli.
 
Mke wa mtu ni SUMU. Usijaribu kuilamba utapotea. Huyo ashukuru amekatwa masikio tu.. wangeweza hata kumkata shingo!
 

Duuuh...!!!

Dunia haiishi vijaruba khaaaa....!!!!

Sasa hapo wamemtangazia soko jamaa maana pamoja na kuwa yuko kwenye hofu mkuyenge wake hapo ndo umesinyaa je ukiwa wima unakuwaje.....!!😅😅😋😋😋

Maana nasikia wanaume wakiwa na hofu au hali ya wasiwasi kama hiyo ya kufumaniwa laivu mkuyenge unasinyaa na kurudi ndani kabisaa hata makende yanakuwa makubwa kuzidi mkuyenge.....😆😆😆😆😆

Halafu hapo walipomwambia asimame mwenyewe kajiziba kwa mbele wao wanamwambia toa mkono ili warekodi vizuri mkuyenge wa mwenzao....

Mfyuuu wanamuonea gele kijana wa watu ila nimemuonea huruma amedhalilika utupu wake nje.
Kabaki anachezea wallet yake tuu daaah.!!!

Eti babu Asprin na wewe ukifimaniaga si huwa unatoa maamusi kama haya haya eeehh.... si ndio babaanguu eeehh 😅😅😅

Aika mbee.
 
Inaonekana unapenda bigbig,za kugusa cervix,hahahaaa
 
wanaongea tu watu, mi nilifumania mme na binti wa kazi, cha kwanza kabisa nilimuuliza binti watoto wangu wako wapi, akanijibu chap wamelala. nikazunguka nyumba nzima nikamuona mkubwa tu. nikamrudia tena mdogo yuko wapi , aahh alimuweka kwenye kitanda chake vile vitanda movable vya watoto. kitanda kipo mbele yao dogo kalala wenyewe wananyanduana. basi sikusema chochote nikaa zangu kwenye kochi na kuanza kuwaza kumbe watoto huwa nawaacha na mama yao mwingine lol. nikajisemea haiwezekani watoto wangu waendelee kulelewa na mchepuko wa baba yao. nikaanza kutafuta simu za madalali wa madada wa kazi. Masaa mawili yalivyopita ikawa nilishapata msichana mwingine.HUYU MWINGINE NIKAMUAMBIA AFUNGASHE VYAKE NAMPLELEKA NILIKOMTOA. wala sikumgusa kisa cha kuozea jela kisa umalaya wa mume, akatumie mboo yake huko ebooo
 


Duuh, kwanza pole..

Pili...., ulivyomleta dada wa kazi wa pili, hajarubuniwa tena na mume?

Waswahili wanasemaga, simba akishaonja nyama ya binadamu haachi kuila.

Ila wamama wenye watoto wadogo na ni wafanyakazi au wafanya biashara wana changamoto sana ya malezi.

Sishangai wahindi wanaishi na bibi anakuwa nyumbani muda wote anamkaba house girl wa kiswahili asiibe vitu, asiwatese watoto na pia asichepuke na watoto wa kiume au baba mwenye nyumba.

DUNIA YA SASA IMANI IMEKWISHA...
MIOYO YA WATU IMEBADILIKA...
SI WANAWAKE...
SI WANAUME...
SI KWA WAZEE..
WALA SI VIJANA....
WOTE TUNAKWENDA MUTAPWA MUTAPWA....

PENYE WATU KUMI, BINAADAAMU MMOJA!!

#Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Je, unaolewa/unaoa mke/mume aliyeyelewa kwenye tabia zipi?

Kasinde.
 
Inaonekana unapenda bigbig,za kugusa cervix,hahahaaa

Mungu ameniumba nikazaliwa kwenye ukanda wa wanaohimili mizigo mizito.



Sio kwa kupenda kwangu, ni asili ndo imenifikisha hapa.
 
Hiyo ni noma. Hapo usipopata washauri unaweza kujiua kama jamaa yetu mmoja alikuwa ni mwalimu, mke wake akaanza kugongwa na jamaa mmoja ana pesa. Siku moja huyo mwalimu akaamua kumuwakia huyo jamaa anayemgongea aliambulia vitisho na dharau kutoka hata kwa mke wake. Jamaa stress zilimzidi uwezo akajikuta anajirusha ziwani na kufa hapohapo. Ila kusema ukweli na pesa ndo tunaongoza kwa kuonewa.
 
Hivi unakuwaje na uchungu na wivu kwa Mwanamke ambaye wakati unamuoa haukumkuta na "Bikra", yaani ulikuta "njia" ilishafunguliwa siku nyingi na wajanja?
Samahani simaanishi wewe peke yako, hili ni swali kwa Wanaume walio wengi maana asilimia kubwa sana wameoa Wanawake "used". Wachache sana wamefanikiwa kuoa "brand-new".
 

Shukrani mkuu ngoja nkamsome upya mpigania 'bikra'
 
Kwa aina hii ya swali inaonekana wewe bado ni mvulana na hujui thamani ya kupenda, labda nikuulize swali. Hivi ukinunua gari iliyotumika hutaweza kuihudumia na kuithamini eti kwa kuwa uliikuta imetumika!? Unapokutana na mwanamke au msichana kwa mara ya kwanza na ukampenda huwa unaona bikra!?
 
1. 54 years

2. Sijawahi, am a senior bachelor with strings attached (mtu fudenge wangu 🥰).
Du! Kumbe tayari hedhi imekoma, lakini 54 Yrs bado unafaa kwa matumizi. Unaonekana ni muungwana tena mstaarabu na unafurahia maisha (raha jipe mwenyewe😀😀). nakuombea kwa MUNGU azidi kukubariki maana ulishabarikiwa tangu kiunoni kwa Baba yako, pia nakutakia maisha marefu yenye heri na fanaka.
 
Na
Kama mumeo ni malaya je??
 
Umenena uhalisia..Ofcz haya mambo mpaka yakukute ndio ukwel wa nini cha kufanya huwa waz.
Zaman nilikua nasema nikimfuma yf (enz hizo bado Gfrnd tu) nitamtandik sanaa.
One day nikasafir kumfuata mkoan.Tulikua college those days na tushazaa mtoto mmoja (ujana).
Katika harakat nikachukua cm yake enz hiz hiz 2012 smart phone hazikua popular sana.Nikakuta messages sizielewi elewi kabisaa...Aisee Mungu alinijaalia utulivu wa hali ya juu sana kwenye ile moment.Nikawa very +ve sana ingawa tayar taa nyekundu danger ilikua dhahir mbele yangu.

Nikawaza anyway.hii ni inbox tu mtu yeyote anaweza kukutumia message hata kama hutaki so vp kuhusu yy ali respond vp.Nikazama Sent sms.Nikaona responce yake ilikua accordingly...nikapiga tiki hapa tayar.

Muda huo woote yeye yuko busy anaandaa msosi.Nikachukua cm yangu nikaichek kwa m-pesa nika confirm jina nikatulia tuliii sana mpaka huwa najishangaa mpaka leo.

Akamaliza kuandaa chakula akaandaa sasa nilichokosea nikajilaum sana ni kwamba wakat tunaanza tu kula stori za hapa na pale nikamuuliza "FLANI" ni nani..tena kwa upole kabisaaaa (sivyo nilivyo..mimi ni mkali).
Basi bwana siku ikaharibika kabisaa.. niishie hapo ila 10 sasa we r still on with kids.

EFFECT yake sasa, kuna mrembo mmoja alikua ananipenda sana nikiwa chuo af mi nikawa nampotezea tu kwa kujua nina yf to be.Nikaja gundua ile situation ilini jeruhi internally na ofcz nikatoa chance kwa yule Manka.Na kwakua sikua nimezoea multiple relation nikajikuta tumesonga na manka toka chuo mpaka miaka 6 mbele..Tukabaki frnds baada ya yy kuolewa ikumbukwe grfrnd wangu sikumuacha na nikamuoa .
NB
Manka mpaka leo though as frnds...
 
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…