Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike

Ni mimi kwani??? Ni maneno ya wanaopenda mishangazi
Uwongo Hayo maneno ni yako..
Alafu ukisema hilo neno lazima uniweke na mimi as if mimi mishangazi yangu ina ukimwi au mimi napenda mishangazi ya namna hiyo..

Ni siku moja tuu ndo yule mshangazi nilimkuta na vidonge lakini nilienda kupima mbona..
Toka sku ile umeniandama
 
Hallelujah
 
Bila kusahau liwe na ukimwi
 
Mimi lijiomba tumejiunga mwaka moja.. ila jf niliijua kitambo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…