Leo nimejaribu kusoma Biblia japo kidogo tu ila nahisi kuchanganyikiwa

Leo nimejaribu kusoma Biblia japo kidogo tu ila nahisi kuchanganyikiwa

Pole...Kuna utaratibu mzuri wa kuisoma biblia na kuielewa. Je naomba kujua kama hii ndio mara yako ya kwanza kuisoma biblia seriously?

Kwamfano, kuna namna ya jinsi gani uanze kusoma Agano la kale na ufuate mtiririko upi?
Pia jinsi gani usome agano jipya na ufuate utaratibu upi!.
 
Usio

Usiogope,soma tu utaelewa,usikubali kushikiwa masikio,soma kwa unyenyekevu,tafakari peke yako utaona Nuru
Ni kweli, hata mimi ilinisumbua sana nikipoanza kutaka kuisoma biblia yote toka mwanzo mpaka ufunuo.
Lakin baadae nikaja pata understanding naka come up na utaratibu mzuri wa kuenemda nao na unanisaidia sana. Mwezi wa 3 mwakani nitakua nimeimaliza yote. Na mwezi wa 8 mwakan nitakua nimemaliza kuirudia yote kwa mara nyingine tena..ma tena na tena
 
Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14...

Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua.

Aliye elewa naomba Ufafanuzi wa kina..
Ni Mungu huyo huyo, Agano la kale alijipambanua namna nyingine na katika Agano jipya kajimbanua vingine,

Katika Agano jipya Yesu amefanyika sadaka ili kutengeneza mahusiano yetu na Mungu, ukisoma Ebrania sura ya tisa utaona Yesu amekuwa mpatanishi au kiunganishi au mrejeshaji wa mahusiano baina yetu(wanadamu) na Mungu.

Katika Agano la kale hutamuona Yesu akitajwa na Mungu alijifunua kupitia mtu mmoja mmoja, mfano ni Ibrahim, Yakobo, Isaka, Musa na wengine ambao Mungu alijifunua kwao
 
Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14...

Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua.

Aliye elewa naomba Ufafanuzi wa kina..
Waebrania 1:1-14
1 Mungu, ambaye alisema zamani na baba zetu katika manabii kwa sehemu nyingi na kwa njia nyingi,

2 mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.

3 Yeye kwa kuwa ni mng'ao wa utukufu wake na chapa ya nafsi yake, akivichukua vyote kwa amri ya uweza wake, akiisha kufanya utakaso wa dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Ukuu huko juu;

4 amefanyika bora kupita malaika, kwa kadiri jina alilolirithi lilivyo tukufu kuliko lao.

5 Kwa maana alimwambia malaika yupi wakati wo wote, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena, Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana?

6 Hata tena, amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema, Na wamsujudu malaika wote wa Mungu.

7 Na kwa habari za malaika asema, Afanyaye malaika zake kuwa pepo, Na watumishi wake kuwa miali ya moto.

8 Lakini kwa habari za Mwana asema, Kiti chako cha enzi,Mungu,ni cha milele na milele; Na fimbo ya ufalme wako ni fimbo ya adili.

9 Umependa haki, umechukia maasi; Kwa hiyo Mungu, Mungu wako, amekutia mafuta, Mafuta ya shangwe kupita wenzio.

10 Na tena, Wewe,Bwana,hapo mwanzo uliitia misingi ya nchi, Na mbingu ni kazi za mikono yako;

11 Hizo zitaharibika, bali wewe unadumu; Nazo zote zitachakaa kama nguo,

12 Na kama mavazi utazizinga, nazo zitabadilika; Lakini wewe u yeye yule, Na miaka yako haitakoma.

13 Je! Yuko malaika aliyemwambia wakati wo wote, Uketi mkono wangu wa kuume Hata nitakapoweka adui zako chini ya nyayo zako?

14 Je! Hao wote si roho watumikao, wakitumwa kuwahudumu wale watakaourithi wokovu?
 
Ni Mungu huyo huyo, Agano la kale alijipambanua namna nyingine na katika Agano jipya kajimbanua vingine,

Katika Agano jipya Yesu amefanyika sadaka ili kutengeneza mahusiano yetu na Mungu, ukisoma Ebrania sura ya tisa utaona Yesu amekuwa mpatanishi au kiunganishi au mrejeshaji wa mahusiano baina yetu(wanadamu) na Mungu.

Katika Agano la kale hutamuona Yesu akitajwa na Mungu alijifunua kupitia mtu mmoja mmoja, mfano ni Ibrahim, Yakobo, Isaka, Musa na wengine ambao Mungu alijifunua kwao
Waebrania ni moja kati ya vitqbu ambavyo vimemfunua Mungu katika hali ya ugumu kidogo kiasi kwamba kinakuhitaji uwe na prerequisites za kukusaidia kuieleza.

Mfano, kwa kias kikubwa Waebrania umeengea sana kuhusu new convenant in christ, sasa ili kupata ufahamu mzuri, u need to understand some conceots about God's old covenants.
Hapa unakuta kwamba lazima uwe umesoma agano la kale ukalielewa vizuri vitabu vile kabla ya Samwel.

Pia unajikuta ni muhimu kuelewa kwa namna nzuri concept ya Yesu kama Mungu, kitu ambacho Yahana mtakatifu specifically amejikita kukieleza toka anaanza sura ya kwamza mpaka anamaliza aura ya mwisho. Na hii ni injilihya tofauti kidogo ukiilinganisha na Mark ,Luke, Mathew.

UKiwa na msingi huu utakupa mtaji mzuri kuilewa Hebrews book.

So Bible utakuta inakuhitaji a certain way kui approach. But all in all, Holly spirit is the master teacher wa kukufundisha
 
Nimeanza na kitabu cha waebrania sura ya Kwanza mstari wa kwanza hadi wa 14...

Kusema kweli sijaelewa Jinsi Mungu na Mwanae walivyojipambanua.

Aliye elewa naomba Ufafanuzi wa kina..
Kama hauna basics kabisa za Biblia, Itapendeza ukianza walau mwanzo upate basic kisha ndio uendelee nayo mdogo mdogo mpaka mwisho, kama una uelewa wa agano jipya (kupitia filamu ya Yesu n.k ambayo imejaribu kuelezea maisha yake) basi unaweza kusoma kuanzia matendo ya mitume ili upate mtiririko mzuri

Ila yite kwa yote inapendeza kama ni agano jipya au zamani, uanze kuisoma mwanzo mpaka mwisho
 
Hauwezi kusoma biblia kama gazet au kitabu cha kawaida. Jiandae upate utulivu wa mawazo na soma taratibu kwa kutafakari.
Mengine ni hatua mimi naamini huwezi kuilewa biblia bila kumpenda Mungu
 
Ni kweli, hata mimi ilinisumbua sana nikipoanza kutaka kuisoma biblia yote toka mwanzo mpaka ufunuo.
Lakin baadae nikaja pata understanding naka come up na utaratibu mzuri wa kuenemda nao na unanisaidia sana. Mwezi wa 3 mwakani nitakua nimeimaliza yote. Na mwezi wa 8 mwakan nitakua nimemaliza kuirudia yote kwa mara nyingine tena..ma tena na tena
Hongera sawa
 
wa tz tuko nyuma ya mama ambaye anamsapoti yahaya mia kwa miaa
FB_IMG_1729507695527.jpg
 
Back
Top Bottom