Leo nimejisikia vibaya sana wakuu!

Tuna screenshot hii tunaitunza.

Acha wivu na dharau kenge wewe.

Kwani mtu akisema anaenda marekani kuna nini kibaya?

Akienda akaja kuonyesha yupo huko utasemaje?

Roho mbaya tu
acha makasiriko mkuu utaskrini shoti vingi sana huu mwaka ndo kwanza nimeanza ntakua nakutag ili uwe unaskrini shoti na ntakulipa kabsa 🤣🤣

acha tujifariji
 
Mwanamke uangalia nyege ya leo na sio Kesho ya watoto
 
Hamna laana yoyote kwa machozi ya mtu umekutana nae ukubwani, ni ujinga tu umejiwekea kichwani
 
Sitokushtumu kwa kuwa you're free to do as you wish na maisha yako ila siwezi kubali kauli za ke yyte hivi hivi.
Najua jamaa analipa kodi,school fees na kufanya shopping standard ya wanao ila yule ke humchafulia jina sana kwa kuwa hampi hela za matumizi yake personal.
Siku moja alikuja kwangu nikiamka naskia wanamchafua beshte na mke wangu, walikuwepo na rafiki zao wanne hivi , nlipoosha uso , nliteremka stairs mpaka dining room wote nliwafurusha nje mpaka mke wangu .
Usiwai chukulia kauli za mwanamke at face value.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuangazie upande mwingine. Kuna wengine walikuwa nazo na wakawatendea wengine yasiyo mema na kupoteza kila kitu. Sasa wanahangaika.
 
Mjini kuna mambo mengi. Ni ngumu kumtenganisha mwenye shida za kweli na tapeli.

Nisiseme sana.
 
Hapo umepigwa ama unatupiga, haiwezekani atoke banana aje palestina huu ni uongo, yaani kapanda magari mawili mpaka matatu kufika palestina,
Hiyo karatasi ya dawa anatembea nayo akiona mtu anayeeleweka tu anaomba msaada hata mwananyamala kuna kijana ndo kazi yake
 
Umesema
 
1. Ukinunua kwa kina mama wanaohangaika juani barabarani usidai sana punguzo la bei, au kung'ang'ania sana akuongezee bidhaa uliyonunua. Huko kwenye ma-supermarket (kwa mabepari) tunanunua na tunalipa bei kama ilivyoandikwa na hatudai punguzo, kwa nini mama huyu mhangaikaji tutake kumkandamiza?

2. Mtoa mada naona unataka kuhukumu upande mmoja. Ungeweza kuongea na huyo mwanaume anayedaiwa ametelekeza ingewezekana huyo mwanamke ungemtandika makofi.

3. Kwa kazi yako hiyo ya bodaboda kutoa elfu hamsini, ni uongo. HIYO NI CHAI.
 
Mungu atakurudishia maradufu
 
Mi hata siulizagi maswali mengi ,kama ninayo nasaidia tu. Maana nilishawahi kwama na nikasaidiwa bila hata kuomba ila mtu alijua nimekwama kwa kuniangalia tu

Mkwamo haudichiki ususani ukiwa mgeni kwa mkwamo coz unapanic flan

Nami naungan nawe maswali yasiwe mengi, ni kama kumnyanyasa mwenye uhitaji
 
Sawa mkuu lakini ukikua utaacha kuandika nadharia kama hizi kwasababu inaonekana huwajui wanawake vizuri.
 
Dawa yao ni kumtelekeza yeye pamoja na mtoto kwasababu ata ukitoa mahitaji yote bado utaishia kutukanwa na kujengewa chuki kwa uyo mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…