Ahahahaha.Asubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi.
Safari ilivyosogea kidogo mgongo wangu ukaanza kusiginwa na maziwa kila gari inapoyumba (Picha sina). Imagine maziwa ya mwanamke yanakusigina. Nikawa nimekaribia kushuka lakini hisia za kimapenzi zikagoma kushuka. Kushuka nikashindwa maana naweza kuonekana mimi ndio nilikuwa nadunga,wakati nilikuwa nadungwa. Ikabidi nitulie tu bila kuchukua hatua yoyote.
Dungadunga wa kike wapo, wanaume tuchukue tahadhari.
Alikuwa ni Yanga pia nduguye na Halima MdeeAsubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi.
Safari ilivyosogea kidogo mgongo wangu ukaanza kusiginwa na maziwa kila gari inapoyumba (Picha sina). Imagine maziwa ya mwanamke yanakusigina. Nikawa nimekaribia kushuka lakini hisia za kimapenzi zikagoma kushuka. Kushuka nikashindwa maana naweza kuonekana mimi ndio nilikuwa nadunga,wakati nilikuwa nadungwa. Ikabidi nitulie tu bila kuchukua hatua yoyote.
Dungadunga wa kike wapo, wanaume tuchukue tahadhari.
hahaha umefaidi sanaAsubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi.
Safari ilivyosogea kidogo mgongo wangu ukaanza kusiginwa na maziwa kila gari inapoyumba (Picha sina). Imagine maziwa ya mwanamke yanakusigina. Nikawa nimekaribia kushuka lakini hisia za kimapenzi zikagoma kushuka. Kushuka nikashindwa maana naweza kuonekana mimi ndio nilikuwa nadunga,wakati nilikuwa nadungwa. Ikabidi nitulie tu bila kuchukua hatua yoyote.
Dungadunga wa kike wapo, wanaume tuchukue tahadhari.
kwahiyo ilikubidi uendelee na safari Hadi dungadunga aliposhuka!!?kwa kweli nime enyoj
mkuu wewe ni mgumu sana kuelewa. Y kila sehemu inaleta issue za Simba Vs Yanga,na CCM. Kuna maisha baada ya soka na siasaAlikuwa ni Yanga pia nduguye na Halima Mdee
Nje ya mada; huwa nakuona bonge la boss, Kumbe nawe wapanda daladala! Simba na Chadema hawana watumkuu wewe ni mgumu sana kuelewa. Y kila sehemu inaleta issue za Simba Vs Yanga,na CCM. Kuna maisha baada ya soka na siasa
Jamaa choyo ili😀tuchukue tahadhari wakati were ume enjoy
Weka video tuone... Ama sivyo utakuwa unadanganyaAsubuhi ya leo nimepanda daladala ya kusimama. Nikafuatana na dada mmoja amejazia akakipenyeza na kujibanza nyuma yangu. Akawa kasogea karibu sana mpaka mapigo ya moyo wake nikawa nayahisi mgongoni. Nikawa namsikia na pumzi zake. Nikaanza kupandwa na hisia za kimapenzi.
Safari ilivyosogea kidogo mgongo wangu ukaanza kusiginwa na maziwa kila gari inapoyumba (Picha sina). Imagine maziwa ya mwanamke yanakusigina. Nikawa nimekaribia kushuka lakini hisia za kimapenzi zikagoma kushuka. Kushuka nikashindwa maana naweza kuonekana mimi ndio nilikuwa nadunga,wakati nilikuwa nadungwa. Ikabidi nitulie tu bila kuchukua hatua yoyote.
Dungadunga wa kike wapo, wanaume tuchukue tahadhari.
We choko nini??..Usirudie tena kuvuta bangi mkuu
NB-Bangi mbaya sana
Ajabu yake, Wivu mbaya sana!😀tuchukue tahadhari wakati were ume enjoy
Shadeeya nimekuham!Lol
Hivyo ukashukia mwisho wa gari au ndo ukasubiri mpaka huyo dunga dunga ashuke?