Leo nimekutana na dungadunga wa kike kwenye daladala

Isije ikawa ni jamaa baunsa ana kifua kikubwa we ukadhani maziwa...then anajisugua sugua nyuma yako we unaona raha hata kituo ambacho ilikuwa ushuke unaghairi... Ndo basi tena....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu, ulishindwa vipi kumwambia asimame mbele yako?

Anyway, contact ulichukua?
 
Pochi na fedha zako za mfukoni zilitoka salama?.....Maana kwa uzoefu 'wapiga ndole' hutumia hao wasichana. Wakati akikunyegeza na wewe kuanza kum-bashia huyo wenzako wanasachi mifukoni!
 
Kwa akili kama hizi kwanini kina Mdee wasiwadharau machadema?
 
Tit for that ungemgusisha pia
 
kwani ukitaja kituo ulichopandia unahisi tutakuja kukumalizia dunga wako.
 
Haya yapo kuna siku nikiwa maeneo yaofisini nikiwa natembea nilivamiwa na kukumbatiwa na mdada mtumishi mwenzangu akaning'ang'ania ananiambia kumbe unafaa kutumika maana nakuona upo fiti nikamwambia inatosha akasema hakuna hiyo subiri kwanza kiukweli gobole liliamka akashtuka akasepa zake
 
Pickpocket... Hakuwa peke yake alikuwa na wenzake, bahati mbaya walishindwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyo hata sura hujamuona!! Huenda lilikuwa Baunsa(Shoga) hilo...
 
Tuchukue tahadhari gani sasa mkuu[emoji1787]
 
Wazee wa kuamsha turubai 😁
 
Mara ya mwisho kupanda daladala hata sijui.
Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…