Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Watu wanaibiana NYOTA bongo Hii [emoji848]Najua huwezi amini ila nachokwambia ni uhalisia.
Mamangu afe kesho kama nimedanganya, nilichokwambia ndio nilichokisikia ndio maana ile sauti bado naiskia toka saa 6 mchama nimeona hilo tukio. Hata mm nilibaki najiuiza inawezekana vipi