Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

Huyo atakuwa na shida kubwa, hasa kwenye issues za mazingara. Hizi nchi masikini zina shida sana, kuna watu wanakuona hawataki ufurahie maisha wao waking unaumia ndio furaha yao.

Ndoo maana binafsi mtu akiwa na elements za ushirikina simpi nafasi kwenye maisha yangu, labda salam tu.
 
mkuu unautalamu wa

Marketing unejificha ndani yako hujui tuh​

 
Miami kumi ni mingi sana kukaa bila kutongozwa , inawezekana ilikuwa ni gia tuu
 
😂😂😂 Naogopa mnatoa 30k nyie
Kwani wewe price tag yako ni kiasi gani?🤣 Kule selfika juzi walisema wewe ni kisu na nusu, kama ni hivyo sikuwezi...sitaki stress mie🤣
 
Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana.

Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni
" Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa"

"Nikitaka mwanaume inabidi nimtongoze mimi na wengine wananipotezea"

Kwa kuwa tulipeana mgongo, ilibidi nianze kupambana nione huyu mtu anamuonrkano gani. Huwezi amini ni dada mzuri, umri ni kama miaka 28-34 hapo. Mweupe mfupi kidogo ila ana haiba ya pwani.

Hii kitu imenishangaza sana sana kumbe kuna wanawake hawatongozwi!? Kama unapitia changamoto kama hiyo do something, ni tatizo kubwa sana mwanamke kukosa mvuto.

Usipotongozwa maana yake hauna mvuto, watu hawakuoni, nyota yako imekufa. Pambana urudishe nuru kwa kuwa mwanamke au binadamu kwa ujumla ni mvuto, bila mvuto wewe ni kasha tu. Nyota ndio inaleta kila kitu.
Tangazo limekaa kijanja sana
 
Back
Top Bottom