Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

Nawewe kweli ukaamini ni miaka kumi.

Ukisikia mtu anasema 'juzi tu hapa huyu binti alikuwa ananyonya leo amemaliza la saba', unadhani hiyo juzi tu ni siku tatu zilizopita?
 
Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana.

Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni
" Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa"

"Nikitaka mwanaume inabidi nimtongoze mimi na wengine wananipotezea"

Kwa kuwa tulipeana mgongo, ilibidi nianze kupambana nione huyu mtu anamuonrkano gani. Huwezi amini ni dada mzuri, umri ni kama miaka 28-34 hapo. Mweupe mfupi kidogo ila ana haiba ya pwani.

Hii kitu imenishangaza sana sana kumbe kuna wanawake hawatongozwi!? Kama unapitia changamoto kama hiyo do something, ni tatizo kubwa sana mwanamke kukosa mvuto.

Usipotongozwa maana yake hauna mvuto, watu hawakuoni, nyota yako imekufa. Pambana urudishe nuru kwa kuwa mwanamke au binadamu kwa ujumla ni mvuto, bila mvuto wewe ni kasha tu. Nyota ndio inaleta kila kitu.
Uthibitisho usio tia shaka tafadhali!
 
Tupia picha tuone kama anafaa kwa kitafunwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We baba ni muongo, halafu mbona kama umekuja na suluhisho moja kwa moja au ndo Bango nini maana siku hizi biashara matangazo
 
Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana.

Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni
" Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa"

"Nikitaka mwanaume inabidi nimtongoze mimi na wengine wananipotezea"

Kwa kuwa tulipeana mgongo, ilibidi nianze kupambana nione huyu mtu anamuonrkano gani. Huwezi amini ni dada mzuri, umri ni kama miaka 28-34 hapo. Mweupe mfupi kidogo ila ana haiba ya pwani.

Hii kitu imenishangaza sana sana kumbe kuna wanawake hawatongozwi!? Kama unapitia changamoto kama hiyo do something, ni tatizo kubwa sana mwanamke kukosa mvuto.

Usipotongozwa maana yake hauna mvuto, watu hawakuoni, nyota yako imekufa. Pambana urudishe nuru kwa kuwa mwanamke au binadamu kwa ujumla ni mvuto, bila mvuto wewe ni kasha tu. Nyota ndio inaleta kila kitu.

Mnauwawaga kwa huu ujinga wakuamini wanawake.
 
Back
Top Bottom