Leo nimekutana na mwanamke ana miaka 10 hajatongozwa

Najua huwezi amini ila nachokwambia ni uhalisia.

Mamangu afe kesho kama nimedanganya, nilichokwambia ndio nilichokisikia ndio maana ile sauti bado naiskia toka saa 6 mchama nimeona hilo tukio. Hata mm nilibaki najiuiza inawezekana vipi
Wewe suala la mama yako kufa kesho mwachie Mungu,kwanini umuue mama yako kwasababu zako binafsi huku mtandaoni,si ujitangulize wewe kwanza kwa maneno yako....ndgu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana.

Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni
" Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa"

"Nikitaka mwanaume inabidi nimtongoze mimi na wengine wananipotezea"

Kwa kuwa tulipeana mgongo, ilibidi nianze kupambana nione huyu mtu anamuonrkano gani. Huwezi amini ni dada mzuri, umri ni kama miaka 28-34 hapo. Mweupe mfupi kidogo ila ana haiba ya pwani.

Hii kitu imenishangaza sana sana kumbe kuna wanawake hawatongozwi!? Kama unapitia changamoto kama hiyo do something, ni tatizo kubwa sana mwanamke kukosa mvuto.

Usipotongozwa maana yake hauna mvuto, watu hawakuoni, nyota yako imekufa. Pambana urudishe nuru kwa kuwa mwanamke au binadamu kwa ujumla ni mvuto, bila mvuto wewe ni kasha tu. Nyota ndio inaleta kila kitu.
Huyo wamemficha kichawi haonekani. Usoni mwake wame mwekea uvuli kiasi kwamba wanaume hawavutiwi nae.

-Kama ungeweza kumshauri, ungemwambia aingie kwenye maombi.
 
Nilikuwa nimekaa sehemu ya kificho kidogo, sasa kuna demu alikuwa anaongea na simu. Kwa kuwa hakuniona alikuwa anajiachia tu alikuwa anaongea kwa hisia sana.

Maneno ambayo mpaka sasa yamekaa kwenye kichwa changu na nisiamini kama inawezekana ni
" Ustaaz nna miaka 10 sijatongozwa"

"Nikitaka mwanaume inabidi nimtongoze mimi na wengine wananipotezea"

Kwa kuwa tulipeana mgongo, ilibidi nianze kupambana nione huyu mtu anamuonrkano gani. Huwezi amini ni dada mzuri, umri ni kama miaka 28-34 hapo. Mweupe mfupi kidogo ila ana haiba ya pwani.

Hii kitu imenishangaza sana sana kumbe kuna wanawake hawatongozwi!? Kama unapitia changamoto kama hiyo do something, ni tatizo kubwa sana mwanamke kukosa mvuto.

Usipotongozwa maana yake hauna mvuto, watu hawakuoni, nyota yako imekufa. Pambana urudishe nuru kwa kuwa mwanamke au binadamu kwa ujumla ni mvuto, bila mvuto wewe ni kasha tu. Nyota ndio inaleta kila kitu.
Kutongozwa anaweza kuwa hajawahi kutongozwa, hila kupelekewa moto kimasihara ni kwa saaana!
 
Back
Top Bottom