Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Chukua kodi mambo mengine kaushaNjoo na dem mmoja mwenye nyumba unitambulishe mbona simple tu
Kuna madogo kwa siku anaweza ingiza geto zaidi ya watatu, hii mbaya sana haileti picha nzuriHata heshima mtaani unakuwa huna watu wakiamka wanakuona kama kasongo tuπ€£π€£
Sema kweli πFor sure nalia kweli lakin hawez mtu niskia
Kodi haitoshi kukuachia uhuru ufanye Kila unaloona kwako linafaa, nyumba sijaijenga kwa ajili ya kufanyia uzinifu, maadili yazingatiweChukua kodi mambo mengine kausha
Shida sio sauti tu ila kama wengine wana familia kuna namna hizo movements zinaharibu watoto wao.Ungemshauri awe anawasha redio mkuu, kwa mbaaali naamini sauti haitasikia nje?
Alafu nyumba ngan hiyo sauti zinatoka nje Au Hakuna sealing boards.
πππSorry siliaji alicomment kaniudhSema kweli π
Siamini hadi unioneshe kama kweli unalia.
Sa nita amini vipi?
Embu niletee ushahidi PM.
Wambie kinachowafanya wasilale na kufanya Yao ni kitu gani ππ kusikiliza tu jirani yao, wewe na wao acheni wivu, kama nyie wavivu mwacheni mwenzenu, sasa usiku wa manane unasikilizia Kwa jirani kunatoka sauti gani au kwako ni uswazi sana nini!Nina units saba kwenye eneo moja vijumba vimekaribiana kiasi sasa huyu mpangaji mmoja yeye ni kuleta wanawake usiku wa manane na kufanya mapenzi kwa fujo na makelele mengi.
Mpangaji wangu mmoja kati yao akanitumia malalamiko na ushahidi wa audio voice jinsi ndugu huyo anavyofanya na hao wanawake usiku wa manane mpaka imekuwa kero kwa wapangaji wengine sasa nimetafakari toka asubuhi nikaona nimuondoe.
sasa leo nimempigia simu ndugu huyu na kumwambia ujinga wake na kwa msisitizo nimemrudishia kodi yake iliyobaki kesho nisimuone naona ametaka yaishe ila naona si busara kumwacha akae maana atawaharibu na hawa wengine nyumba zangu sijawajengea wahuni.
Somo langu kwa Vijana mnaojitafuta kwenye maisha acheni ujinga wa kuhangaika na wanawake wanaharibu nguvu zenu bure ndio maana wengi mpo dar na hamna kiwanja wala nyumba kwasababu ya kuendekeza starehe ambazo zinakera hadi wengine yasiyowahusu.
Nazima simu.
ππππππWakati unasikiliza hizo voice note ulijihisi vp, Isije ukawa ulilowa π¦
Aaah!πππSorry siliaji alicomment kaniudh
Hata mie nashangaa hiyo nyumba gani? Nyumba mabanda huko juu kupo waziUngemshauri awe anawasha redio mkuu, kwa mbaaali naamini sauti haitasikia nje?
Alafu nyumba ngan hiyo sauti zinatoka nje Au Hakuna sealing boards.
Alaf wanaharibu sana watoto hawajui tuKuna madogo kwa siku anaweza ingiza geto zaidi ya watatu, hii mbaya sana haileti picha nzuri
kuna zingine zinalia kama ving'oraWanajifunza kazi ya upigaji mashine ila wawe na nidhamu. Mashine inapigwa kwa ufundi bila kelele.
Alafu wanajiona wajuzi kumbe wehu tuπ€£π€£kuna zingine zinalia kama ving'ora