Kama kuna wanaume wa kiafrika hawaibi luti basi ni 1 katika 100. hili mabinti mlijue.
Kikawaida huwa mnapitiana asubuhi mnaenda wote job..... Kwa hiyo alijua kabisa kuwa hiyo asubuhi utapita hapo nyumbani kwake na still akalala na mdada mwingine. Mmmh Okkk
Ila nimependa tu hapo ulivyojokausha bila kuleta fujo, kugombana kisa kimwanaume mfyuuuu
umeongea kweli tupu. Nini yeye kilimzuia kwenda kumpikia na kumuandalia maji ya kuoga mme wake?
Hakuna kitu kina kera kwa mwanaume umetoka kazn, unatakiwa uoshe vyombo na upike. Kero iko hapo
hapa simu ina mafuriko ya msg zake, mmmh naona kaamua kunifuata ofisini namuona hapa kwenye vioo anakujaAmefanya makusudi huyo because kama hua mnapitiana kila siku kwenda kazini alijua lazima uende ukashuhudie, pole mwaya as long as sio mume move on hana jipya huyo
Kwani amemuoa?kama anataka kupikiwa na kuisha vyombo aoe. Hizi habari za kujifanya wife material kabla ya ndoa unatumika wee na kuolewa anaolewa mwingine hajawahi hata kufua boxer
Kwani amemuoa?kama anataka kupikiwa na kuisha vyombo aoe. Hizi habari za kujifanya wife material kabla ya ndoa unatumika wee na kuolewa anaolewa mwingine hajawahi hata kufua boxer
yan wewe
Uko wapi mrembo..tuanze upya. Mimi mwenyewe ni muhanga wa mahaba.
Yani nimeishia tu kusoma nikacheka. Mchumba ndo nitoke kwangu asubuhi asubuhi eti nawahi kwenda kumfanyia usafi sijui kumwandalia maji ya kuoga daily? Mweeeee
Pole mwaya yani wanaume sijui wameumbwa vipi dah hata ujitoe kiasi gani kwake bado haridhiki
Kitendo cha kua mpole ni kosa kubwa sana. Huyo mwanamke atakuheshimuje sasa?!