Leo nimemfumania live bila chenga

Leo nimemfumania live bila chenga

Kama kuna wanaume wa kiafrika hawaibi luti basi ni 1 katika 100. hili mabinti mlijue.

Gahama;
Nimechukia sana changio lako. Kwa nini una ubaguzi? Ati wanaume wa kiafrika. Huko ughaibuni ndio waanzilishi wa kuiba ruti. Mwafrika alikuwa anachukua, anahifadhi ndani, akihesabu, mke mkubwa, mke mdogo, mke wa tatu. Maisha yakawa Swafiii.
Leo, hao unaosema hawaibi ruti, wakaja na sinle yao ati mume 1 mke 1. waapi. ndo maana kwao wana neno "Cheating". Umeipata hiyo?? Hakuna asoiba. Hata kutamani nayo ni dhambi.
 
Dah! kwanza nakupongeza kwa uvumilivu wa hali ya juu maana angekua mweingine happo hilo vurumai mjumbe angekuja.
Pili kama unampeda kaa nae chini aamue, je ni wewe au ni huyo uliyemkuta nae. kama atajutia na kukuomba msamaha just samehe na move on with your life
 
Kikawaida huwa mnapitiana asubuhi mnaenda wote job..... Kwa hiyo alijua kabisa kuwa hiyo asubuhi utapita hapo nyumbani kwake na still akalala na mdada mwingine. Mmmh Okkk
Ila nimependa tu hapo ulivyojokausha bila kuleta fujo, kugombana kisa kimwanaume mfyuuuu

labda alijua nikigonga atajikausha na mm nikiona kimya nitaamua kutangulia, but Leo nkaamua kupigwa baridi tu nione mwisho
 
Amefanya makusudi huyo because kama hua mnapitiana kila siku kwenda kazini alijua lazima uende ukashuhudie, pole mwaya as long as sio mume move on hana jipya huyo
 
umeongea kweli tupu. Nini yeye kilimzuia kwenda kumpikia na kumuandalia maji ya kuoga mme wake?

Hakuna kitu kina kera kwa mwanaume umetoka kazn, unatakiwa uoshe vyombo na upike. Kero iko hapo

Kwani amemuoa?kama anataka kupikiwa na kuisha vyombo aoe. Hizi habari za kujifanya wife material kabla ya ndoa unatumika wee na kuolewa anaolewa mwingine hajawahi hata kufua boxer
 
Amefanya makusudi huyo because kama hua mnapitiana kila siku kwenda kazini alijua lazima uende ukashuhudie, pole mwaya as long as sio mume move on hana jipya huyo
hapa simu ina mafuriko ya msg zake, mmmh naona kaamua kunifuata ofisini namuona hapa kwenye vioo anakuja
 
Kwani amemuoa?kama anataka kupikiwa na kuisha vyombo aoe. Hizi habari za kujifanya wife material kabla ya ndoa unatumika wee na kuolewa anaolewa mwingine hajawahi hata kufua boxer

Yani nimeishia tu kusoma nikacheka. Mchumba ndo nitoke kwangu asubuhi asubuhi eti nawahi kwenda kumfanyia usafi sijui kumwandalia maji ya kuoga daily? Mweeeee
 
Huyo mwanaume mwenyewe anaishi kwenye chumba kimoja na sebule anakuletea nyodo zote hizo. Je akihamia kwenye gorofa si ndio atakuua kwa mawazo?
 
Uko wapi mrembo..tuanze upya. Mimi mwenyewe ni muhanga wa mahaba.
 
Kwani amemuoa?kama anataka kupikiwa na kuisha vyombo aoe. Hizi habari za kujifanya wife material kabla ya ndoa unatumika wee na kuolewa anaolewa mwingine hajawahi hata kufua boxer

msilie basi wakiwatosa
 
Shost, leo ijumaa mwaya.... fanya kile kitu roho inapenda. Kama mkesha nenda kaombe na kuimba sanaaa, kama viwanja jiachie. Nenda saloon, jisop sop, osha kucha, suka, tinda nyusi ili mradi uwe mwaaaah. Kula vizuri lala kwa raha zako. Rohoni mfuteeeeee andika amekufa na hatarudi teeeena. akwende zake kuleeee
 
Yani nimeishia tu kusoma nikacheka. Mchumba ndo nitoke kwangu asubuhi asubuhi eti nawahi kwenda kumfanyia usafi sijui kumwandalia maji ya kuoga daily? Mweeeee

Ingekua wanachepuka kwa sbb ya kuoshewa vyombo na kupikiwa+kufuliwa hakika walio kwenye ndoa wasingechepuka, in short kama mtu ni kunguru wa zanzibar hata umfanyeje atachepuka tu
 
Pole mwaya yani wanaume sijui wameumbwa vipi dah hata ujitoe kiasi gani kwake bado haridhiki

Ukweli ni kuwa mapenzi ya siku hzi ukiona unampenda jua hupendwi, na anae kupenda wewe huwa humpendi.
So choose to be stressed or to be with some one whom you don't love.
 
Kitendo cha kua mpole ni kosa kubwa sana. Huyo mwanamke atakuheshimuje sasa?!
 
Uyo mshkaj atakua bado mshamba mshamba maana anajua kabisa hua mnapitiana asbh thne analala na mdada umo umo,,,au n bahili sana ameshindwa kwenda lodge
 
Back
Top Bottom