Kama kuna wanaume wa kiafrika hawaibi luti basi ni 1 katika 100. hili mabinti mlijue.
Gahama;
Nimechukia sana changio lako. Kwa nini una ubaguzi? Ati wanaume wa kiafrika. Huko ughaibuni ndio waanzilishi wa kuiba ruti. Mwafrika alikuwa anachukua, anahifadhi ndani, akihesabu, mke mkubwa, mke mdogo, mke wa tatu. Maisha yakawa Swafiii.
Leo, hao unaosema hawaibi ruti, wakaja na sinle yao ati mume 1 mke 1. waapi. ndo maana kwao wana neno "Cheating". Umeipata hiyo?? Hakuna asoiba. Hata kutamani nayo ni dhambi.