hapana maana hivyo vipimbi ni vijanja sana tulikuatukiwinda huko kijijini nimevitafuna sana huko milimani...Baba ushaelewa vizuri unataka kunichosha tyuuu!! 🤣
Shida hapa..yeye na mwanaye
Pole sana mkuuCheka Sana, furahi Sana ila omba yasikukute.
WaeleseKumbe mtoto ulimkuta naye .
Ila kuna single mother wanachezea bahati kazingua.
🤣🤣🤣Waelesee
Mwanaume Gani unalialia kisa chakula? Hutufai kiumeniHuyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.
Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari. Siku akinipikia wali nyama, wao wanakula wali nyama na matunda/ juice. Yaani Ni lazima aweke utofauti kwenye mlo wangu na wa kwao. Nimemuonya mara nyingi aache ubaguzi maana hela ya chakula siyo yake iweje wananibagua? Lakini hakusikia
Nikaona niwafukuze tu
Tumezozana usiku wa kuamkia Leo hataki kutoa vitu nje lakini nimemshinda.
Sasa kwa tabia hiyo ana u wife material gani hapo! Mbona fafa long time tuHuyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.
Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari. Siku akinipikia wali nyama, wao wanakula wali nyama na matunda/ juice. Yaani Ni lazima aweke utofauti kwenye mlo wangu na wa kwao. Nimemuonya mara nyingi aache ubaguzi maana hela ya chakula siyo yake iweje wananibagua? Lakini hakusikia
Nikaona niwafukuze tu
Tumezozana usiku wa kuamkia Leo hataki kutoa vitu nje lakini nimemshinda.
Wahi mirembe hospitali ya vichaaHuyu dada nilikuwa nampenda Sana na kwa muonekano alikuwa ni wife material.
Licha ya kuwa nilimpenda na nimekuwa natoa hela ya matumizi Ila akawa ananipikia ugali na mboga za majani, yeye na mwanaye wanakaanga ndizi, viazi ulaya na nyama wanaweka na kachumbari. Siku akinipikia wali nyama, wao wanakula wali nyama na matunda/ juice. Yaani Ni lazima aweke utofauti kwenye mlo wangu na wa kwao. Nimemuonya mara nyingi aache ubaguzi maana hela ya chakula siyo yake iweje wananibagua? Lakini hakusikia
Nikaona niwafukuze tu
Tumezozana usiku wa kuamkia Leo hataki kutoa vitu nje lakini nimemshinda.
Huu uzi ufungwe tu 😀😀😀🤣🤣Kwahiyo hadi muda huu wako nje siyo?
Alikuja aumlishe na mwanaye
We hujiulizi kwanini aliyemzalisha kmtelekeza na mtoto?
Umejidai tasaf,saidia Kaya maskin😂
Pole tafuta mwingine umlishe na mwanaye manake yaonekana ndo kipaji chako.
Naona unampiga na shotocan. Punguza ukali mkuu kahWahi mirembe hospitali ya vichaa
Mpenzi ndio mtu Gani ? Malaya wewe
Ungesema mke sawa .Mtu sio.mke unaleta hoja za kijinga humu .Oa treatment za mke Kwa mume ni tofauti na treatment za kuhudumia malaya la kiume kama wewe linaloita Mwanamke mpenzi tu wakati halijamuoa kama wewe usyejielewa
Alichokufanyia sawasawa Tena kakuhurumia
Wewe unaona ni jambo dogo? Dalili ya mvua ni mawingu. Anaweza kusababisha shida kubwa mbeleni. Mfano nikiugua anaweza asinipe chakulaChakula tu chief kinakutoa imani,usipokunywa hiyo juice na hayo matikiti unapungukiwa nini?
Ndiyo hivyo mkuuHahahaha...hii kweli au kikombe? Sa anakuacha mwenye nyumba af analisha mtegemezi kweli [emoji1787]?
Jipigie makofi 🤣🤣hapana maana hivyo vipimbi ni vijanja sana tulikuatukiwinda huko kijijini nimevitafuna sana huko milimani...
nataka kujiridhisha kwamba tabia za pimbi ni za kuingilia hapa na kutokea pale, right? na kuchungulia chungulia inje kukiwa patulivu
natoa ushuhuda halafu tena nijipigie makofi mwenyewe, kweli jamani ndrugu zangu?Jipigie makofi 🤣🤣