Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
hapana maana hivyo vipimbi ni vijanja sana tulikuatukiwinda huko kijijini nimevitafuna sana huko milimani...Baba ushaelewa vizuri unataka kunichosha tyuuu!! š¤£
nataka kujiridhisha kwamba tabia za pimbi ni za kuingilia hapa na kutokea pale, right? na kuchungulia chungulia inje kukiwa patulivu