Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Mbaya zaidi mada ndefu afu 90% n upuuzi tuuFikiria mtu kutwa nzima anavuja jasho halafu aje akutane na haya manyuzi marefu yasiyo na kichwa wala miguu.
Mbaya zaidi mada ndefu afu 90% n upuuzi tuuFikiria mtu kutwa nzima anavuja jasho halafu aje akutane na haya manyuzi marefu yasiyo na kichwa wala miguu.
... JINAMIZI LA MCHANA, FULL MALUWELUWE!Fikiria mtu kutwa nzima anavuja jasho halafu aje akutane na haya manyuzi marefu yasiyo na kichwa wala miguu.
Unachoka Kabisa Mzee M 😂😂Mistari miwili tuu tyr nshachoka kusoma, ngonjera kibao
Leta point za maana, achana na ngonjera
Mtu akiandika kwa haraka haraka na kwa ufupi anashambuliwa anye maji atulie na aandike stori yote
Wakiletewa gazeti, pia wanalalamika kuwa umeandika ujinga mwingi
Wabongo hamjui mnataka nini
Maandishi mengi kama ya Lucas Msandambwa yasiyoeleweka , kawaida ya wanachama wa chama pendwa, mnapenda kutupotezea muda and not serious people
Ingekuwa n mm pekee ndo naona una maneno mengi, bc ungekuwa sahihi.Pointi za maana leta wewe. Mwenye interest au hobby nazo atajihusisha nazo.
Jamaa anachosha sana. Ni bora afungue group la wanaopenda kusoma soma manyuz marefu.Mbaya zaidi mada ndefu afu 90% n upuuzi tuu
Tunataka short and clear ukaambatanisha na picha. Sio blah blah umekuja kuomba ubunge
Hayo manyuzi marefu asome na ndugu zakeJamaa anachosha sana. Ni bora afungue group la wanaopenda kusoma soma manyuz marefu.
Ingekuwa n mm pekee ndo naona una maneno mengi, bc ungekuwa sahihi.
Amtafute mayala waunde umojaHayo manyuzi marefu asome na ndugu zake
Eh mm sipo huku 😂Amtafute mayala waunde umoja
Hadi anaboa wasomaji.
Mwandambo kachanganyikiwa baada ya zile accounts zake za mitandao ya kijamii kufungwa na pia kutokuwa na uwezo wowote wa kutengeneza zile clips za TikTok.
Licha ya hivyo pia walimsweka ndani kwa kipindi kirefu bila kumfungulia mashtaka, hii imemfanya achanganyikiwe kwani pia hata zile shughuli zake za kawaida pale Mbeya zimeathirika.
Kila kitu kimekaa kama amekuwa ameathirika kisaikolojia.
Unazunguka kama vile unataka rushwa nyooka mzee
Milard AyoHiyo habari ni halisi au ni wahuni wamemuwekea?