Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

Leo nimemwona Mwandambo Daah! Mpaka nimelia. Nimesikitika Sana

Ww jamaa una mada ndefu sana kiasi kwamba anayesoma anafikia point hajui anasoma nn, mbaya zaidi una maneno mengi mengine hayana msingi wowote wa kuyaweka.

Jaribu kupunguza ngonjera ili anayesoma asipate tabu kukuelewa, mana humo humo unachanganya kila kitu.
Hii vipi.
Hujasoma lakini imekusikitisha sana.
 
Ww jamaa una mada ndefu sana kiasi kwamba anayesoma anafikia point hajui anasoma nn, mbaya zaidi una maneno mengi mengine hayana msingi wowote wa kuyaweka.

Jaribu kupunguza ngonjera ili anayesoma asipate tabu kukuelewa, mana humo humo unachanganya kila kitu.
Fikiria mtu kutwa nzima anavuja jasho halafu aje akutane na haya manyuzi marefu yasiyo na kichwa wala miguu.
 
1780850695220.png
 
Hatari sana. Mzee anahitaji kusaidiwa
Huyo ndiyo basi tena ,hawezi kurudi normal ,sirikali ni hatari ebu mfatilie jamaa mmoja anaitwa Deogratius Kisandu alivyokuwa mwanzoni NCCR/CHADEMA alivyokuwa hatari kama kina Zitto/Mnyika/Heche lakini baada ya kufungwa alivyorudi dishi likawa limeyumba mpaka leo hajakaa sawa.

 
Mtu akiandika kwa haraka haraka na kwa ufupi anashambuliwa anye maji atulie na aandike stori yote
Wakiletewa gazeti, pia wanalalamika kuwa umeandika ujinga mwingi
Wabongo hamjui mnataka nini

Mara nyingi ni watu wenye upeo Mdogo na wanaojihusisha na mambo wasiyo na interest wala hobby nayo. Ndio hiyo unaita hawajui nini wanataka.

Ukishawajua wabongo hawawezi kukusumbua
 
Back
Top Bottom