Leo nimemzaba vibao kaka wa kazini

Leo nimemzaba vibao kaka wa kazini

Watu wengine safari zao za maisha ya ndoa zilianza kwa mikiki mikiki kama hiyo.

Mkianza mapenzi mtapendana sana na kila mmoja wenu atajiona mshindi kwa kufosi kingi, yeye mwamba na wewe bingwa.

Ushaona jogoo likipigana na mtetea?

Ukiona linakimbizana usifikiri ni ugomvi huo, hilo ni jambo jingine la kiasili likitaka kufanyika.

Wengine kutongoza kwa stara ni mashikolo mageni, sasa na wewe usipoielewa maana kwa haraka, waweza sema kama ulivyosema, kumbe jamaa wala!
Huyu hayupo huko ni umbea tu unamsumbua
 
Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.

Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga pampa pampa.

Nilisimama nikamkunja nikamuingiza kwa kwapa akawa hafulukuti nikamtia vibao viwili vitakatifu halafu nikamwambia nenda kaseme kwa bosi wako.

Nikachukua begi langu nikasepa home. Bosi amenipigia simu zaidi ya mara nne sijapokea. Saa hizi ameniandikia meseji akinisihi nipokee simu ana mazungumzo na mimi. Nimemjibu tutaongea kesho ofisini.

Hata kama nitakua nimenyea ugali wangu ila najipongeza kumpa adabu huyu kaka wa hovyo! Naona sasa atakua na adabu na atakaa mbali na mimi! Sipendagi mazoea ya kiufisadi na kimbea mbea mie!!
Hupendi umbea na huu uliotuletea ni nini?
 
Kesho jumapili
😂😂😂
Nlitaka nishangae ofisi gani mpigane afu mnaenda mpaka jpili hicho itakuwa kibarua 😂😂😂
Kuna ofisi nyingi hazina jumamosi wala jumapili ila wanafanyakazi ndo wana off duties jpili anaweza kuingia kazini jumatatu akawa off mfano hospital
 
Watu wengine safari zao za maisha ya ndoa zilianza kwa mikiki mikiki kama hiyo.

Mkianza mapenzi mtapendana sana na kila mmoja wenu atajiona mshindi kwa kufosi kingi, yeye mwamba na wewe bingwa.

Ushaona jogoo likipigana na mtetea?

Ukiona linakimbizana usifikiri ni ugomvi huo, hilo ni jambo jingine la kiasili likitaka kufanyika.

Wengine kutongoza kwa stara ni mashikolo mageni, sasa na wewe usipoielewa maana kwa haraka, waweza sema kama ulivyosema, kumbe jamaa wala!
Sasa janamke la chuga la kazi gani!?..nene,levi,kiuno kigumu,kusafisha naniliu halijui
 
Leo ndio nimejua kwamba wewe ni Ke.
Anywas......
Kwetu huku moja kati ya sheria za kazi ni......ukipigwa/ukipiga ama mkipigana na ikathibitika ni wote mnafukuza kazi na hakuna mjadala wala msamaha kwenye hilo.
Kuna levo za kufukuzwa kazi bro Ushimen

Imagine HR kapigana na mtunza garden ya ofisi, unadhani wote watafukuzwa?
 
Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.

Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga pampa pampa.

Nilisimama nikamkunja nikamuingiza kwa kwapa akawa hafulukuti nikamtia vibao viwili vitakatifu halafu nikamwambia nenda kaseme kwa bosi wako.

Nikachukua begi langu nikasepa home. Bosi amenipigia simu zaidi ya mara nne sijapokea. Saa hizi ameniandikia meseji akinisihi nipokee simu ana mazungumzo na mimi. Nimemjibu tutaongea kesho ofisini.

Hata kama nitakua nimenyea ugali wangu ila najipongeza kumpa adabu huyu kaka wa hovyo! Naona sasa atakua na adabu na atakaa mbali na mimi! Sipendagi mazoea ya kiufisadi na kimbea mbea mie!!
Hiyo sio kazi! Wewe ni kibarua tu! Kazi gani mnaenda jumamosi na jumapili! Ni size yenu kukunjana! Kazini ukipigana unafukuzwa!
 
Back
Top Bottom