- Thread starter
- #21
Wweee sema kweli 😱Leo ndio nimejua kwamba wewe ni Ke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wweee sema kweli 😱Leo ndio nimejua kwamba wewe ni Ke.
PoleeLile kofi Lauma dada j nimelia sana
Huyu hayupo huko ni umbea tu unamsumbuaWatu wengine safari zao za maisha ya ndoa zilianza kwa mikiki mikiki kama hiyo.
Mkianza mapenzi mtapendana sana na kila mmoja wenu atajiona mshindi kwa kufosi kingi, yeye mwamba na wewe bingwa.
Ushaona jogoo likipigana na mtetea?
Ukiona linakimbizana usifikiri ni ugomvi huo, hilo ni jambo jingine la kiasili likitaka kufanyika.
Wengine kutongoza kwa stara ni mashikolo mageni, sasa na wewe usipoielewa maana kwa haraka, waweza sema kama ulivyosema, kumbe jamaa wala!
pambana upate kazi nzuri utajua kupigana sio dili kwa watu wazima. watu wazima huwa hawapigani, wanaongea hoja na kukubaliana au kutokukubaliana. imeisha hiyo.Tunafanya hapa kwa mangi mkuu
Nitafutie basi hata kwa yesu au yesu hana kazi?pambana upate kazi nzuri utajua kupigana sio dili kwa watu wazima. watu wazima huwa hawapigani, wanaongea hoja na kukubaliana au kutokukubaliana. imeisha hiyo.
Hupendi umbea na huu uliotuletea ni nini?Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.
Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga pampa pampa.
Nilisimama nikamkunja nikamuingiza kwa kwapa akawa hafulukuti nikamtia vibao viwili vitakatifu halafu nikamwambia nenda kaseme kwa bosi wako.
Nikachukua begi langu nikasepa home. Bosi amenipigia simu zaidi ya mara nne sijapokea. Saa hizi ameniandikia meseji akinisihi nipokee simu ana mazungumzo na mimi. Nimemjibu tutaongea kesho ofisini.
Hata kama nitakua nimenyea ugali wangu ila najipongeza kumpa adabu huyu kaka wa hovyo! Naona sasa atakua na adabu na atakaa mbali na mimi! Sipendagi mazoea ya kiufisadi na kimbea mbea mie!!
Kuna ofisi nyingi hazina jumamosi wala jumapili ila wanafanyakazi ndo wana off duties jpili anaweza kuingia kazini jumatatu akawa off mfano hospitalKesho jumapili
😂😂😂
Nlitaka nishangae ofisi gani mpigane afu mnaenda mpaka jpili hicho itakuwa kibarua 😂😂😂
Sasa janamke la chuga la kazi gani!?..nene,levi,kiuno kigumu,kusafisha naniliu halijuiWatu wengine safari zao za maisha ya ndoa zilianza kwa mikiki mikiki kama hiyo.
Mkianza mapenzi mtapendana sana na kila mmoja wenu atajiona mshindi kwa kufosi kingi, yeye mwamba na wewe bingwa.
Ushaona jogoo likipigana na mtetea?
Ukiona linakimbizana usifikiri ni ugomvi huo, hilo ni jambo jingine la kiasili likitaka kufanyika.
Wengine kutongoza kwa stara ni mashikolo mageni, sasa na wewe usipoielewa maana kwa haraka, waweza sema kama ulivyosema, kumbe jamaa wala!
kama unafanyia mzaha Jina la Yesu, basi ukae hivyo hivyo bila kazi ya maana hadi akili ikukae sawa.Nitafutie basi hata kwa yesu au yesu hana kazi?
Kuna levo za kufukuzwa kazi bro UshimenLeo ndio nimejua kwamba wewe ni Ke.
Anywas......
Kwetu huku moja kati ya sheria za kazi ni......ukipigwa/ukipiga ama mkipigana na ikathibitika ni wote mnafukuza kazi na hakuna mjadala wala msamaha kwenye hilo.
Chai.Hii picha imepigwa kwa tecno t349 au
Hiyo sio kazi! Wewe ni kibarua tu! Kazi gani mnaenda jumamosi na jumapili! Ni size yenu kukunjana! Kazini ukipigana unafukuzwa!Huyu kaka alikua ananichukuli poa sana. Mnoko mnoko anapenda kunifatilia mambo yangu hata kama hayahusiani na kazi anaingiza pua yake kwenye mambo private. Kila wiki ananiripoti kwa bosi kwa vitu vya uongo.
Sasa leo aligonga kubaya nikapatwa na hasira ghafla. Unajua madem wa chuga hatunaga pampa pampa.
Nilisimama nikamkunja nikamuingiza kwa kwapa akawa hafulukuti nikamtia vibao viwili vitakatifu halafu nikamwambia nenda kaseme kwa bosi wako.
Nikachukua begi langu nikasepa home. Bosi amenipigia simu zaidi ya mara nne sijapokea. Saa hizi ameniandikia meseji akinisihi nipokee simu ana mazungumzo na mimi. Nimemjibu tutaongea kesho ofisini.
Hata kama nitakua nimenyea ugali wangu ila najipongeza kumpa adabu huyu kaka wa hovyo! Naona sasa atakua na adabu na atakaa mbali na mimi! Sipendagi mazoea ya kiufisadi na kimbea mbea mie!!
Mbona TRA Arusha kazini wanaenda mpaka jumamosinna jumapiliHiyo sio kazi! Wewe ni kibarua tu! Kazi gani mnaenda jumamosi na jumapili! Ni size yenu kukunjana! Kazini ukipigana unafukuzwa!
Mbona TRA Arusha kazini wanaenda mpaka jumamosinna jumapiliKesho jumapili
😂😂😂
Nlitaka nishangae ofisi gani mpigane afu mnaenda mpaka jpili hicho itakuwa kibarua 😂😂😂
Mbona TRA Arusha kazini wanaenda mpaka jumamosinna jumapiliHiyo sio kazi! Wewe ni kibarua tu! Kazi gani mnaenda jumamosi na jumapili! Ni size yenu kukunjana! Kazini ukipigana unafukuzwa!
Mh? Wee jamaa!Mbona TRA Arusha kazini wanaenda mpaka jumamosinna jumapili