Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

Na ukijifanya kutembea na mke wa ntu unarogwa na kurogwa.
 
Sio karatu huku kwel[emoji848]
 
Kwa sisi tulio Kaa dar es salaam Kwa muda mrefu tukiendaga huko mikoani kwetu tunapaona pa AJABU AJABU sana nazungumzia maeneo mengi huko mkoani....

Pambana kusanya maokoto then ukikamilisha kilicho kupeleka sepa huko usije ukarogwa Kwa kula vizuri au hata kupiga jeans au kadeti na mashati makali makali 😊😊😊😊😊
 
Chamsingi pambania kombe si kila aliyetoboa katoka kwenye kiyoyozi,piga kazi jimeki ukiona umepata unachotaka unarudi town uzuri wa kijiji chochote kile hakuna bajeti kubwa sana labda uwe mlevi..ukisema urudi town utaferi mana toka umekaa town hujawekeza chochote ukirudi unakuja kuanzia wapi.Huyo unayemuwaza bila hela ataenda kwa wenzako umepata fulsa itumie mapenzi yapo tu
 
nimeupokea ushauri wakoo
 
daah navopenda mikato mikali na panki hawa wazee wahuku wataniona navizia mabinti zao
 

Tafuta gusta ufanye biashara huko, upumzishe hao punda
 

Tafuta gusta ufanye biashara huko, upumzishe hao punda
 
Apa ndo unajipata kumbe mimi ni star apa jamii forum kuna wana wanakufuatilia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wasalimie singida
 
Pambana!
 
daah navopenda mikato mikali na panki hawa wazee wahuku wataniona navizia mabinti zao
Inabidi uwe very humble uwe na nidhamu heshimu wazee wasalimie wakubwa Kwa wadogo.....

Utaishi vyema sana uki enenda na jamii husika na vice versa yake jiandaae ku suffer 😊☺️
 
Mwenyewe nipo kijijini kwenye biashara ya uchuuzi sasa hawa wachuuzi maarufu niliowakuta sasa hivi hata salamu yangu wanapokea kinyonge sana kisa tuu nimepandisha bei kidogo ili nipate mzigo, mda wowote narogwa ndugu zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…