Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

Fanya kilichokupeleka huko
 
Wewe pia hujaelewa kwanini nimemwambia ahame huko.

Na kama ungeelewa ungejua hasara ya Yeye kuondoka huko ni ndogo kuliko hasara anayoenda kuipata...
Kwa hio ahame unampeleka kwenye kampuni yako au una option ipi huyu daktari wa mimea unampeleka wapi ambako unaona panamfaa? Mpe connection basi PM yake ipo wazi onyesha TOBO
 
Mkuu kwanza hongera kwa kupata kazi yenye uhakika,ambayo inaambatana na kupewa bima ya afya,uhakika wa pesa kila mwezi itakayoambatana na annual increment,na finally uko subjected kwenye mikopo endapo utahitaji kwa siku zijazo,pili fanya kazi kwa bidii uwatumikie watanzania kwa moyo wako wote,kwani ulisoma na kuandaliwa ili utoe huduma kwa mwananchi yeyote ambaye yupo popote pale Tanzania bara au visiwani.Nakupa hongera tena mkuu.Mwanzo mgumu.
 
sahihi chief! japo moyo unafukuta
 
bila shaka wakuu wako wamekutupa shinyanga ndanindani. pole sana, pambana.
 
Au acha hiyo kazi urudi Sinza........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…