Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

Mimi niliacha kazi ya kuajiliwa mkoani ya ualimu na kukimbilia DSM kufanya biashara, maisha ni mafupi Mzee sometimes inabd uwe ni mbabe tuu kwenye kutafuta farijiko la moyo wako ,. Ila Kwa watoto wa mama sio rahs kujilipua, nenda tuu ukalime mboga mboga na demu wako utamsikilizia kwenye bomba tuu
sikubali demu wangu anitose, nasema sikubali
 
Mimi niliacha kazi ya kuajiliwa mkoani ya ualimu na kukimbilia DSM kufanya biashara, maisha ni mafupi Mzee sometimes inabd uwe ni mbabe tuu kwenye kutafuta farijiko la moyo wako ,. Ila Kwa watoto wa mama sio rahs kujilipua, nenda tuu ukalime mboga mboga na demu wako utamsikilizia kwenye bomba tuu
Mwalimu!
Kuajiliwa = kuajiriwa
 
Naiomba serikali yangu tukufu ya ccm ,iboreshe huduma ya maji .
Mi nikushauli tu japo najiuliza kwa nini hukujiongeza kabla hujaondoka huku ulijua utahama.
Okota machupa yote ya maji,tutumie kwenye basi tutakujazia , tutakuwekea tena kwenye basi. Gharama za usafirishaji,juu yako. Utasubilia barabara kuu(uombe punda na mkokoteni uje ukapakie),yakiisha, rudi jijini.

Au unasemaje!?
 
Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa.

Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes)

Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi nilichopangiwa na shirika moja binafsi hapa nchini! ni aibu sana kwakweli!.

Wafanyakazi wenye certificate,diploma wanavimba ofisini na kipupwe mimi wamenipeleka kijijini wastani wa kilomita 120 kutoka mjini,hakuna makazi bora,maji ya tabu,usafiri wa shida na network inashika haloteli tu.

Nimeikuta jamii ni walevi mno, sura zao zimekosa nuru, najiona kabisa napotea kwenye ulevi wa kupindukia huku kijijini, wanatumia punda kwenda kuchota maji ya kunywa kweli!
Pole sana.Utakuwa umeanza na ku-miss miguu ya kuku na utumbo wake.
 
Chunga tu kitu Kimoja, mazingira hayo huwa wanaweza hata kukuloga ulale na watoto wa watu upatiwe kesi ya Kubaki, kuwa makini sana kwenye hayo mazingira unayoyaelezea.
 
Back
Top Bottom