Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

sahihi chief vp haya mazingira nita sustain kweli! hali si shwari
Yes you will, keep going son
Najua utaweza kwa sababu umeisha waona hao watu maisha yao ni mabaya na hukuridhika nayo
Hapo umeishayakataa kwa hiyo pambana tu utavuka
Fanya kilichokupeleka na haya ndio mafanikio ya mtu kuwaza hivyo

Nilipoondoka home niliambiwa unaenda kutafuta maisha mazuri sio mabaya na ndio niliyonayo mpaka leo nimezeeka
 
Ahsante kwa kunipa moyo ,ubarikiwe
 
Hii kanda ya ziwa...tabora😂😂😂
 
We ni muongo na mbaya zaidi uongo wako haujaupangilia!
Asubuhi ya leo chozi lilikutoka wakati ukiiacha stendi ya Mbezi na leo hiihii umefika uendako na lupangiwa kituo nje ya mji (120 km) na umefika na kukuta watu wanachota maji mchana kwa punda!!!!????
Tuanzie hapa: ni mkoa gani huo? Ulifika saa ngapi? Kutoka hapo mkoani mpaka huko wilayani umbali wa km 120 ulitumia muda gani na ukafika saa ngapi? Story ya kuungaunga isiyo na uhalisia. Peleka porojo zako kwa wapuuzi wenzio.
 
frankly speaking.

hii sio chai, try to understand my logic
ndio maana nimetumia codes kulinda kibarua changu
 
hahahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…