Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

sikubali demu wangu anitose, nasema sikubali
 
Mwalimu!
Kuajiliwa = kuajiriwa
 
Naiomba serikali yangu tukufu ya ccm ,iboreshe huduma ya maji .
Mi nikushauli tu japo najiuliza kwa nini hukujiongeza kabla hujaondoka huku ulijua utahama.
Okota machupa yote ya maji,tutumie kwenye basi tutakujazia , tutakuwekea tena kwenye basi. Gharama za usafirishaji,juu yako. Utasubilia barabara kuu(uombe punda na mkokoteni uje ukapakie),yakiisha, rudi jijini.

Au unasemaje!?
 
Pole sana.Utakuwa umeanza na ku-miss miguu ya kuku na utumbo wake.
 


Chunga tu kitu Kimoja, mazingira hayo huwa wanaweza hata kukuloga ulale na watoto wa watu upatiwe kesi ya Kubaki, kuwa makini sana kwenye hayo mazingira unayoyaelezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…