Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

pia nasikia wana wivu balaa, kama mfanyakazi unamiliki asset zao!
Acha kuwaza negative piga kazi...mimi nilifanya kazi na shirika moja la kigeni..na tafiti ilifanyikia vijijini...so tulikua tunakaa vijijini..nikapangiwa kijiji kimoja huko Geita....ila sikutaka hofu initawale japo usiku ulikuwa unakua mrf sana...tukamaliza project tukarudi mjini..cha msingi ni kutoq hofu kabisaaa japo story za kutisha utazisikia...
 
ahsante mkuu ,shukrani sana .
japo ndio hvo ni 3yr contract with possibility of extension
 
Usicheze jf..jamaa amesha sahau kuwa alisema ameoa …hahahahaha
 
Mkeo alivotoka dom alikwambia kwanini alikua hapokei simu? 🀣
Hahahaha Mwl naona umemkalia kooni afisa kilimo msaidizi kijiji cha matego hahahaha….
Mpaka aseme mke wake alisemaje hahaha ! Jf ukijifanya uko serious sana unaweza ukatoa ushauri kwa mtu ata asiyestahili kumbe yuko chini ya muembe wa shemeji yake halafu anasema ana mke kakimbilia dodoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Leo leo umefika, leo leo upo mbez mwisho leo leo ushafika kazini ushaona wafanyakazi wenzio na kuwajua

Hata visa vya kutunga mnashindwaga kupangilia tusishtukie aisee
 
Leo leo umefika, leo leo upo mbez mwisho leo leo ushafika kazini ushaona wafanyakazi wenzio na kuwajua

Hata visa vya kutunga mnashindwaga kupangilia tusishtukie aisee
frankly speaking.

unaonekana hii tanzania bado hujaijua!
 
zama hizi sikujua kama kuna sehemu wanatumia punda kuchota maji huko madimbwini
 
Jf hapajawahi kuwa serious 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…