Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

pia nasikia wana wivu balaa, kama mfanyakazi unamiliki asset zao!
Acha kuwaza negative piga kazi...mimi nilifanya kazi na shirika moja la kigeni..na tafiti ilifanyikia vijijini...so tulikua tunakaa vijijini..nikapangiwa kijiji kimoja huko Geita....ila sikutaka hofu initawale japo usiku ulikuwa unakua mrf sana...tukamaliza project tukarudi mjini..cha msingi ni kutoq hofu kabisaaa japo story za kutisha utazisikia...
 
ahsante mkuu ,shukrani sana .
japo ndio hvo ni 3yr contract with possibility of extension
 
Nimekumbuka Uzi wako huu

Usicheze jf..jamaa amesha sahau kuwa alisema ameoa …hahahahaha
 
Mkeo alivotoka dom alikwambia kwanini alikua hapokei simu? 🤣
Hahahaha Mwl naona umemkalia kooni afisa kilimo msaidizi kijiji cha matego hahahaha….
Mpaka aseme mke wake alisemaje hahaha ! Jf ukijifanya uko serious sana unaweza ukatoa ushauri kwa mtu ata asiyestahili kumbe yuko chini ya muembe wa shemeji yake halafu anasema ana mke kakimbilia dodoma 😂😂😂😂😂😂
 
Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa.

Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes)

Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi nilichopangiwa na shirika moja binafsi hapa nchini! ni aibu sana kwakweli!.

Wafanyakazi wenye certificate,diploma wanavimba ofisini na kipupwe mimi wamenipeleka kijijini wastani wa kilomita 120 kutoka mjini,hakuna makazi bora,maji ya tabu,usafiri wa shida na network inashika haloteli tu.

Nimeikuta jamii ni walevi mno, sura zao zimekosa nuru, najiona kabisa napotea kwenye ulevi wa kupindukia huku kijijini, wanatumia punda kwenda kuchota maji ya kunywa kweli!
Leo leo umefika, leo leo upo mbez mwisho leo leo ushafika kazini ushaona wafanyakazi wenzio na kuwajua

Hata visa vya kutunga mnashindwaga kupangilia tusishtukie aisee
 
Hahahaha Mwl naona umemkalia kooni afisa kilimo msaidizi kijiji cha matego hahahaha….
Mpaka aseme mke wake alisemaje hahaha ! Jf ukijifanya uko serious sana unaweza ukatoa ushauri kwa mtu ata asiyestahili kumbe yuko chini ya muembe wa shemeji yake halafu anasema ana mke kakimbilia dodoma 😂😂😂😂😂😂
zama hizi sikujua kama kuna sehemu wanatumia punda kuchota maji huko madimbwini
 
Hahahaha Mwl naona umemkalia kooni afisa kilimo msaidizi kijiji cha matego hahahaha….
Mpaka aseme mke wake alisemaje hahaha ! Jf ukijifanya uko serious sana unaweza ukatoa ushauri kwa mtu ata asiyestahili kumbe yuko chini ya muembe wa shemeji yake halafu anasema ana mke kakimbilia dodoma 😂😂😂😂😂😂
Jf hapajawahi kuwa serious 😁
 
Back
Top Bottom