Objective football
JF-Expert Member
- Oct 21, 2023
- 1,195
- 2,771
- Thread starter
- #161
yale yamepita mkuu, target yangu sasa ni hukuMkeo alivotoka dom alikwambia kwanini alikua hapokei simu? 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yale yamepita mkuu, target yangu sasa ni hukuMkeo alivotoka dom alikwambia kwanini alikua hapokei simu? 🤣
pia nasikia wana wivu balaa, kama mfanyakazi unamiliki asset zao!Imagine wewe ni mzungu wao, utaishi tu, na fursa kibao utapata.
Akikujibu nitagMkeo alivotoka dom alikwambia kwanini alikua hapokei simu? 🤣
Acha kuwaza negative piga kazi...mimi nilifanya kazi na shirika moja la kigeni..na tafiti ilifanyikia vijijini...so tulikua tunakaa vijijini..nikapangiwa kijiji kimoja huko Geita....ila sikutaka hofu initawale japo usiku ulikuwa unakua mrf sana...tukamaliza project tukarudi mjini..cha msingi ni kutoq hofu kabisaaa japo story za kutisha utazisikia...pia nasikia wana wivu balaa, kama mfanyakazi unamiliki asset zao!
ahsante mkuu ,shukrani sana .Acha kuwaza negative piga kazi...mimi nilifanya kazi na shirika moja la kigeni..na tafiti ilifanyikia vijijini...so tulikua tunakaa vijijini..nikapangiwa kijiji kimoja huko Geita....ila sikutaka hofu initawale japo usiku ulikuwa unakua mrf sana...tukamaliza project tukarudi mjini..cha msingi ni kutoq hofu kabisaaa japo story za kutisha utazisikia...
Socialize nao, mara nyingi bush wanakumaindi ukijitenga na wao wakiona una maendeleo. Kuwa nao karibu tu utavuna vingipia nasikia wana wivu balaa, kama mfanyakazi unamiliki asset zao!
ahsante mkuuSocialize nao, mara nyingi bush wanakumaindi ukijitenga na wao wakiona una maendeleo. Kuwa nao karibu tu utavuna vingi
Usijali utazoea maisha...cha msingi mambo yako yote ya maendeleo mishe mishe kama utazianza fanyia town..yani kule usifungue hata kibanda cha vocha..jifanye na wewe umekua mpori pori..kumbe unafanya yako mjini...ahsante mkuu ,shukrani sana .
japo ndio hvo ni 3yr contract with possibility of extension
Ila usisahau, mchawi ni mchawi tu, kama unasali basi sasa ndo mda muafaka.ahsante mkuu
nimepewa tahadhari na wenyeji mkuu
Fans wako tuna hamu sana ya kujua 😁 halafu hapa mbona hamna neno mke kuna ashura wa makumbusho, ni ashura ndo alikua dom? Au atakua alitekwa?yale yamepita mkuu, target yangu sasa ni huku
Usicheze jf..jamaa amesha sahau kuwa alisema ameoa …hahahahahaNimekumbuka Uzi wako huu
Hapokei simu zangu siku ya nne hii tangu asafiri kikazi
Ndugu zangu hakuna rangi naacha kuiona hapa ndani, mke wangu aliniaga kuwa ana safari ya kikazi jijini Dodoma kwa muda wa wiki moja. Cha ajabu nilianza kumstukia wife kila ikifika mida ya usiku simu yake ilikuwa haipatikani hewani. Mimi nikawa mkali sana na kumfokea, yeye akanijibu ikifika mida...www.jamiiforums.com
Hahahaha Mwl naona umemkalia kooni afisa kilimo msaidizi kijiji cha matego hahahaha….Mkeo alivotoka dom alikwambia kwanini alikua hapokei simu? 🤣
Leo leo umefika, leo leo upo mbez mwisho leo leo ushafika kazini ushaona wafanyakazi wenzio na kuwajuaHakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa.
Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes)
Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi nilichopangiwa na shirika moja binafsi hapa nchini! ni aibu sana kwakweli!.
Wafanyakazi wenye certificate,diploma wanavimba ofisini na kipupwe mimi wamenipeleka kijijini wastani wa kilomita 120 kutoka mjini,hakuna makazi bora,maji ya tabu,usafiri wa shida na network inashika haloteli tu.
Nimeikuta jamii ni walevi mno, sura zao zimekosa nuru, najiona kabisa napotea kwenye ulevi wa kupindukia huku kijijini, wanatumia punda kwenda kuchota maji ya kunywa kweli!
frankly speaking.Leo leo umefika, leo leo upo mbez mwisho leo leo ushafika kazini ushaona wafanyakazi wenzio na kuwajua
Hata visa vya kutunga mnashindwaga kupangilia tusishtukie aisee
zama hizi sikujua kama kuna sehemu wanatumia punda kuchota maji huko madimbwiniHahahaha Mwl naona umemkalia kooni afisa kilimo msaidizi kijiji cha matego hahahaha….
Mpaka aseme mke wake alisemaje hahaha ! Jf ukijifanya uko serious sana unaweza ukatoa ushauri kwa mtu ata asiyestahili kumbe yuko chini ya muembe wa shemeji yake halafu anasema ana mke kakimbilia dodoma 😂😂😂😂😂😂
Jf hapajawahi kuwa serious 😁Hahahaha Mwl naona umemkalia kooni afisa kilimo msaidizi kijiji cha matego hahahaha….
Mpaka aseme mke wake alisemaje hahaha ! Jf ukijifanya uko serious sana unaweza ukatoa ushauri kwa mtu ata asiyestahili kumbe yuko chini ya muembe wa shemeji yake halafu anasema ana mke kakimbilia dodoma 😂😂😂😂😂😂