Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa.

Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes)

Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi nilichopangiwa na shirika moja binafsi hapa nchini! ni aibu sana kwakweli!.

Wafanyakazi wenye certificate,diploma wanavimba ofisini na kipupwe mimi wamenipeleka kijijini wastani wa kilomita 120 kutoka mjini,hakuna makazi bora,maji ya tabu,usafiri wa shida na network inashika haloteli tu.

Nimeikuta jamii ni walevi mno, sura zao zimekosa nuru, najiona kabisa napotea kwenye ulevi wa kupindukia huku kijijini, wanatumia punda kwenda kuchota maji ya kunywa kweli!
Sasa huko ndiko kwenye FURSA!
TULIZA kichwa, fikiri nje ya box, utashangaa utakavyoanza piga PESA...
 
Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa.

Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes)

Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi nilichopangiwa na shirika moja binafsi hapa nchini! ni aibu sana kwakweli!.

Wafanyakazi wenye certificate,diploma wanavimba ofisini na kipupwe mimi wamenipeleka kijijini wastani wa kilomita 120 kutoka mjini,hakuna makazi bora,maji ya tabu,usafiri wa shida na network inashika haloteli tu.

Nimeikuta jamii ni walevi mno, sura zao zimekosa nuru, najiona kabisa napotea kwenye ulevi wa kupindukia huku kijijini, wanatumia punda kwenda kuchota maji ya kunywa kweli!
...Hayo Yote yametokea LEO ASUBUHI...kama ulivyoandika ??? [emoji848]

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa.

Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes)

Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi nilichopangiwa na shirika moja binafsi hapa nchini! ni aibu sana kwakweli!.

Wafanyakazi wenye certificate,diploma wanavimba ofisini na kipupwe mimi wamenipeleka kijijini wastani wa kilomita 120 kutoka mjini,hakuna makazi bora,maji ya tabu,usafiri wa shida na network inashika haloteli tu.

Nimeikuta jamii ni walevi mno, sura zao zimekosa nuru, najiona kabisa napotea kwenye ulevi wa kupindukia huku kijijini, wanatumia punda kwenda kuchota maji ya kunywa kweli!
Kilometers 120 kutoka mbezi Bado hujaenda mbali na Dar Bado upo mjini
 
Nimekumbuka Uzi wako huu

Nimekumbuka Uzi wako huu

Alafu hakuleta feedback baada ya mkeo kuliwa dodoma kimasihara...
 
Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa.

Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes)

Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi nilichopangiwa na shirika moja binafsi hapa nchini! ni aibu sana kwakweli!.

Wafanyakazi wenye certificate,diploma wanavimba ofisini na kipupwe mimi wamenipeleka kijijini wastani wa kilomita 120 kutoka mjini,hakuna makazi bora,maji ya tabu,usafiri wa shida na network inashika haloteli tu.

Nimeikuta jamii ni walevi mno, sura zao zimekosa nuru, najiona kabisa napotea kwenye ulevi wa kupindukia huku kijijini, wanatumia punda kwenda kuchota maji ya kunywa kweli!
Bila kutafuna maneno huko ni useri bin Rombo. Sasa anza kufakamia mibanana wine hadi ufanane nao.
 
Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa.

Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes)

Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi nilichopangiwa na shirika moja binafsi hapa nchini! ni aibu sana kwakweli!.

Wafanyakazi wenye certificate,diploma wanavimba ofisini na kipupwe mimi wamenipeleka kijijini wastani wa kilomita 120 kutoka mjini,hakuna makazi bora,maji ya tabu,usafiri wa shida na network inashika haloteli tu.

Nimeikuta jamii ni walevi mno, sura zao zimekosa nuru, najiona kabisa napotea kwenye ulevi wa kupindukia huku kijijini, wanatumia punda kwenda kuchota maji ya kunywa kweli!
Kwa hiyo?
 
Pole sana ila umetumwa huko kama Musa uiokoe jamii hiyo isiwe ya kilevi,piga somo la kufanya kazi kwa bidii ili ukumbukwe kwa elimu yako
 
Back
Top Bottom