uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,925
- 38,702
Nduguzangu leo nimerudi nyumbani jioni nimemaliza kula nikawa naangalia movie sasa chumbani kwangu huwa kuna panya nikawa nimemuingiza paka ili awinde sasa mkewangu huwa hapendi japo nilisha muingizaga siku zanyuma kama mara 3 akawa ametaka nimtoe nikamwambia wewe lala mimi nikimaliza movie nita mtoa akagoma ndio ugomvi ulipo anzia kipindi hicho paka yuko chini ya kitanda akiendelea na mawindo akachukuwa nondo na kuanza kumfukuza nikamwambia acha nilishakwambia nitamtoa akawa hanielewi nikamfuata nikamshika mkono nika mtoa tukaanza kuvutana acha siachi acha siachi mpaka hasira zikaanza nipanda ikabidi ni msine vinyungutu vitatu kimoja mkononi viwili ubavuni ndipo hapo nilipo sikia kofi lasikio ambalo sijawahi pigwa tokea ni zaliwe duh baada ya kutulia wenge sikioni kama sekunde 15 nika mshushia makofi matatu ambapo nilitumia nguvu nyingi ambazo zilisababishwa na hasira moja shavuni mawili mgongoni sasa hapa naona viganja vitatu mgongoni mwake na shavuni na kiganja changu nahisi kimevimba kwasasa namhurumia ila kwajinsi alivyo nipiga naona huruma lakini naona haina maana njiuliza ujasiri huo aliu upata wapi wakunikata kofi umetokea wapi na sijawahi kumpiga tokea ni muoe miaka mitatu sasa nahuku nimemkataza zaidi ya mara tano hanielewi na mimi ni mumewake halali kabisa naombeni maoni labda nimefeli wapi au niko sahihi au ilitakiwa ni fanyeje
Asanteni
1. Wewe ndo umeanza mpiga.
2. Kuna namna mbadala ya kutoa panya.
3. Hukuwa na sababu ya kubishana.
Angalia tu tabia zako, mke wako ameitikia aggressiveness yako, hajakupiga.