OkUtoto unakusumbua, ukikua utaacha. Kuingiza paka chumbani ni kitendo cha kijinga sana, unachotakiwa ni kufanya usafi chumbani kwa kuondoa mavitu ambayo ni maficho ya panya mfano raba zako na soksi zinazonuka, ondoa godoro hilo la katani alilokuachia babu yako mzaa bibi, weka godoro lisilo na matobo badala ya kuweka paka
Nakuwaza wewe mahi wangu 😹😹😹 nakuja dodoma kesho kutwa 🙈🙈Unafanya nini mpka now ujalala bichwa 😂😂😂😂😂😂😂
Kitu kizuri cha kuepusha mwanamke kukupandisha hasira just ignore her akianza kisirani Mpishi tu abaki rudi akishakua sawaNdugu zangu leo nimerudi nyumbani jioni nimemaliza kula nikawa naangalia movie sasa chumbani kwangu huwa kuna panya nikawa nimemuingiza paka ili awinde. Sasa mke wangu huwa hapendi japo nilisha muingizaga siku za nyuma kama mara 3 akawa ametaka nimtoe nikamwambia wewe lala mimi nikimaliza movie nitamtoa akagoma ndio ugomvi ulipoanzia.
Kipindi hicho paka yuko chini ya kitanda akiendelea na mawindo akachukua nondo na kuanza kumfukuza nikamwambia acha nilishakwambia nitamtoa akawa hanielewi nikamfuata nikamshika mkono nikamtoa tukaanza kuvutana acha siachi acha siachi mpaka hasira zikaanza nipanda ikabidi ni msine vinyungutu vitatu kimoja mkononi viwili ubavuni ndipo hapo nilipo sikia kofi la sikio ambalo sijawahi pigwa tokea ni zaliwe.
Duh baada ya kutulia wenge sikioni kama sekunde 15 nikamshushia makofi matatu ambapo nilitumia nguvu nyingi ambazo zilisababishwa na hasira moja shavuni mawili mgongoni, sasa hapa naona viganja vitatu mgongoni mwake na shavuni na kiganja changu nahisi kimevimba kwasasa namhurumia ila kwa jinsi alivyo nipiga naona huruma lakini naona haina maana.
Najiuliza ujasiri huo aliupata wapi wa kunikata kofi, umetokea wapi na sijawahi kumpiga tokea nimuoe miaka mitatu sasa na huku nimemkataza zaidi ya mara tano hanielewi na mimi ni mume wake halali kabisa, naombeni maoni labda nimefeli wapi au niko sahihi au ilitakiwa ni fanyeje!
Asanteni
Ukimuonesha tu kua umejutia hicho kite do bac atakupanda kichwan zaidi😂😂😂 sasahivi ana lalamika kichwa kina muuma
Nawe mjibu sikio lako limevimba😂😂😂 sasahivi ana lalamika kichwa kina muuma
Ooooh weeeh ni kweli hayo usemayo au unaleta utani utani wako ..😂😂😂😂😂Nakuwaza wewe mahi wangu 😹😹😹 nakuja dodoma kesho kutwa 🙈🙈
Karibu kuepusha migogoro kila inapowezekana!!Ndugu zangu leo nimerudi nyumbani jioni nimemaliza kula nikawa naangalia movie sasa chumbani kwangu huwa kuna panya nikawa nimemuingiza paka ili awinde. Sasa mke wangu huwa hapendi japo nilisha muingizaga siku za nyuma kama mara 3 akawa ametaka nimtoe nikamwambia wewe lala mimi nikimaliza movie nitamtoa akagoma ndio ugomvi ulipoanzia.
Kipindi hicho paka yuko chini ya kitanda akiendelea na mawindo akachukua nondo na kuanza kumfukuza nikamwambia acha nilishakwambia nitamtoa akawa hanielewi nikamfuata nikamshika mkono nikamtoa tukaanza kuvutana acha siachi acha siachi mpaka hasira zikaanza nipanda ikabidi ni msine vinyungutu vitatu kimoja mkononi viwili ubavuni ndipo hapo nilipo sikia kofi la sikio ambalo sijawahi pigwa tokea ni zaliwe.
Duh baada ya kutulia wenge sikioni kama sekunde 15 nikamshushia makofi matatu ambapo nilitumia nguvu nyingi ambazo zilisababishwa na hasira moja shavuni mawili mgongoni, sasa hapa naona viganja vitatu mgongoni mwake na shavuni na kiganja changu nahisi kimevimba kwasasa namhurumia ila kwa jinsi alivyo nipiga naona huruma lakini naona haina maana.
Najiuliza ujasiri huo aliupata wapi wa kunikata kofi, umetokea wapi na sijawahi kumpiga tokea nimuoe miaka mitatu sasa na huku nimemkataza zaidi ya mara tano hanielewi na mimi ni mume wake halali kabisa, naombeni maoni labda nimefeli wapi au niko sahihi au ilitakiwa ni fanyeje!
Asanteni
Poor brain nakuona na Komwe lako lisilo na akiliOoooh weeeh ni kweli hayo usemayo au unaleta utani utani wako ..😂😂😂😂😂
Komwe anasema ananiwaza mimi tu etPoor brain nakuona na Komwe lako lisilo na akili