Room 28
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 1,077
- 1,736
Amejua ww akili huna kwaiyo atakuchota tu….Komwe anasema ananiwaza mimi tu et
😂😂😂😂😂 Imagine hapo
hadi umtumie tuhela twako twa bumu

Ndugu zangu leo nimerudi nyumbani jioni nimemaliza kula nikawa naangalia movie sasa chumbani kwangu huwa kuna panya nikawa nimemuingiza paka ili awinde. Sasa mke wangu huwa hapendi japo nilisha muingizaga siku za nyuma kama mara 3 akawa ametaka nimtoe nikamwambia wewe lala mimi nikimaliza movie nitamtoa akagoma ndio ugomvi ulipoanzia.
Kipindi hicho paka yuko chini ya kitanda akiendelea na mawindo akachukua nondo na kuanza kumfukuza nikamwambia acha nilishakwambia nitamtoa akawa hanielewi nikamfuata nikamshika mkono nikamtoa tukaanza kuvutana acha siachi acha siachi mpaka hasira zikaanza nipanda ikabidi ni msine vinyungutu vitatu kimoja mkononi viwili ubavuni ndipo hapo nilipo sikia kofi la sikio ambalo sijawahi pigwa tokea ni zaliwe.
Duh baada ya kutulia wenge sikioni kama sekunde 15 nikamshushia makofi matatu ambapo nilitumia nguvu nyingi ambazo zilisababishwa na hasira moja shavuni mawili mgongoni, sasa hapa naona viganja vitatu mgongoni mwake na shavuni na kiganja changu nahisi kimevimba kwasasa namhurumia ila kwa jinsi alivyo nipiga naona huruma lakini naona haina maana.
Najiuliza ujasiri huo aliupata wapi wa kunikata kofi, umetokea wapi na sijawahi kumpiga tokea nimuoe miaka mitatu sasa na huku nimemkataza zaidi ya mara tano hanielewi na mimi ni mume wake halali kabisa, naombeni maoni labda nimefeli wapi au niko sahihi au ilitakiwa ni fanyeje!
Asanteni
Amejua ww akili huna kwaiyo atakuchota tu….
hadi umtumie tuhela twako twa bumu
Alafu ela yenyewe laki ngapi sijui...Amejua ww akili huna kwaiyo atakuchota tu….
hadi umtumie tuhela twako twa bumu
Nishukie nanenane au sabasaba ? 😁😁😁Ooooh weeeh ni kweli hayo usemayo au unaleta utani utani wako ..😂😂😂😂😂
Yaani ww mjinga sn mkeo alitaka tendo but hakutaka kukuambia direct ameona huo ni muda wa kua nae ww unaangalia movie ndio maana anakua na hasira sn muda mwingi na ww kwakua humjali kimatendoNdugu zangu leo nimerudi nyumbani jioni nimemaliza kula nikawa naangalia movie sasa chumbani kwangu huwa kuna panya nikawa nimemuingiza paka ili awinde. Sasa mke wangu huwa hapendi japo nilisha muingizaga siku za nyuma kama mara 3 akawa ametaka nimtoe nikamwambia wewe lala mimi nikimaliza movie nitamtoa akagoma ndio ugomvi ulipoanzia.
Kipindi hicho paka yuko chini ya kitanda akiendelea na mawindo akachukua nondo na kuanza kumfukuza nikamwambia acha nilishakwambia nitamtoa akawa hanielewi nikamfuata nikamshika mkono nikamtoa tukaanza kuvutana acha siachi acha siachi mpaka hasira zikaanza nipanda ikabidi ni msine vinyungutu vitatu kimoja mkononi viwili ubavuni ndipo hapo nilipo sikia kofi la sikio ambalo sijawahi pigwa tokea ni zaliwe.
Duh baada ya kutulia wenge sikioni kama sekunde 15 nikamshushia makofi matatu ambapo nilitumia nguvu nyingi ambazo zilisababishwa na hasira moja shavuni mawili mgongoni, sasa hapa naona viganja vitatu mgongoni mwake na shavuni na kiganja changu nahisi kimevimba kwasasa namhurumia ila kwa jinsi alivyo nipiga naona huruma lakini naona haina maana.
Najiuliza ujasiri huo aliupata wapi wa kunikata kofi, umetokea wapi na sijawahi kumpiga tokea nimuoe miaka mitatu sasa na huku nimemkataza zaidi ya mara tano hanielewi na mimi ni mume wake halali kabisa, naombeni maoni labda nimefeli wapi au niko sahihi au ilitakiwa ni fanyeje!
Asanteni
Nane nane mbali njoo adi sabasabaNishukie nanenane au sabasaba ? 😁😁😁
Poaa poaa njoo boboNane nane mbali njoo adi sabasaba
Nenda kashtaki dawati la jinsia.Ndugu zangu leo nimerudi nyumbani jioni nimemaliza kula nikawa naangalia movie sasa chumbani kwangu huwa kuna panya nikawa nimemuingiza paka ili awinde. Sasa mke wangu huwa hapendi japo nilisha muingizaga siku za nyuma kama mara 3 akawa ametaka nimtoe nikamwambia wewe lala mimi nikimaliza movie nitamtoa akagoma ndio ugomvi ulipoanzia.
Kipindi hicho paka yuko chini ya kitanda akiendelea na mawindo akachukua nondo na kuanza kumfukuza nikamwambia acha nilishakwambia nitamtoa akawa hanielewi nikamfuata nikamshika mkono nikamtoa tukaanza kuvutana acha siachi acha siachi mpaka hasira zikaanza nipanda ikabidi ni msine vinyungutu vitatu kimoja mkononi viwili ubavuni ndipo hapo nilipo sikia kofi la sikio ambalo sijawahi pigwa tokea ni zaliwe.
Duh baada ya kutulia wenge sikioni kama sekunde 15 nikamshushia makofi matatu ambapo nilitumia nguvu nyingi ambazo zilisababishwa na hasira moja shavuni mawili mgongoni, sasa hapa naona viganja vitatu mgongoni mwake na shavuni na kiganja changu nahisi kimevimba kwasasa namhurumia ila kwa jinsi alivyo nipiga naona huruma lakini naona haina maana.
Najiuliza ujasiri huo aliupata wapi wa kunikata kofi, umetokea wapi na sijawahi kumpiga tokea nimuoe miaka mitatu sasa na huku nimemkataza zaidi ya mara tano hanielewi na mimi ni mume wake halali kabisa, naombeni maoni labda nimefeli wapi au niko sahihi au ilitakiwa ni fanyeje!
Asanteni
Paa paaa mapema kabisaaaaaPoaa poaa njoo bobo
Kumsina ndo nn mkuu?Nimezoea kuishi kwa utani mwinngi lakini jana nilikuwa serious sana maana nili msihi zaidi ya mara 4 mpaka nikaamua kumsina lakini bado
Kumbe ulimfinya pumbav, hapo kofi kilikuhusu. Kingine mwanamke hapigiwi ukianza kupigana na ke tyr unashusha hadhi yakoKumminya na vidole viwili gmba na shahada kama watuwengi walivyozoea kuwa shika watoto mashavu
Unampiga mke kisa panya.Duh nimempa asubuhi 5k akanunue dawa ya maumivu