Leo nimepigwa na mke wangu wa ndoa, imenisikitisha sana



1. Wewe ndo umeanza mpiga.
2. Kuna namna mbadala ya kutoa panya.
3. Hukuwa na sababu ya kubishana.

Angalia tu tabia zako, mke wako ameitikia aggressiveness yako, hajakupiga.
 
Kwa muandiko huu, alitakiwa akupige na hiyo condo kwenye kichwa kabisa.
 
GENTAMYCINE huyu Jamaa yako mjita alioa mkwaya sasa anakiona cha moto et wakurya tunasema katola nyabange
 
Kofi la Mpenzi haliumizi! Usingempiga vibao vyote hivyo.
Ilivyo wanawake wengi (ukiondoa wale wa vijijini) hawapendi paka ukiniuliza sababu sijui.
Kwa hiyo kama ulikuwa unalijua hili ungetafuta sumu ya panya tu kuliko kumkwaza mkeo!
Yaani hapo lazima umnunulie pair 2 za kitenge,umpe sh. laki moja na kumuomba msamaha huku unalia kwa machozi na kuahidi kutorudia tena! Bila kusahau good show on 6 by 6!
Ni hayo tu Mkuu.
 
@
dronedrake njoo humu
 
Sikufichi mkeo hana adabu, alikuzoea kupindikia hayo ndo madhara ya kutokua na sauti kama mwanaume.
 

Asante kwa ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ