Leo nimepigwa na mke wangu wa ndoa, imenisikitisha sana

Sikufichi mkeo hana adabu, alikuzoea kupindikia hayo ndo madhara ya kutokua na sauti kama mwanaume.
Nimezoea kuishi kwa utani mwinngi lakini jana nilikuwa serious sana maana nili msihi zaidi ya mara 4 mpaka nikaamua kumsina lakini bado
 
Ok
 
Jipige kifuani mara tatu huku ukisema mimi ni fala…Sijaoa but what i can see ur not matured.
 
Nunua sumu ya panya inaitwa Ratox changanya na unga weka uvunguni wa kitanda, panya wote wataisha.
 
Watu wanafki tu humu,mm ningemng'oa meno yote ya mbele,na jela ningeenda.Na niwe muwazi simzibui kisa ni mwanamke kwani hata msela akinidharau lazima nimpe za uso kama nammudu
 
Alivokupa Kofi, ungempa tu taraka.
Huna haja ya kupigana na Mwanamke manake heshima ishashuka huwez mfunza Mwanamke aliewashinda wazazi unatafuta Kesi tu Senturo pako wazi.
 
Kitu kizuri cha kuepusha mwanamke kukupandisha hasira just ignore her akianza kisirani Mpishi tu abaki rudi akishakua sawa
 
Mwanamke kupata ujasiri wa kumchapa kofi mmewake, baba, kiongozi wa familia, ni jambo zito na ni dalili mbaya sana.

Anza kufanya tathmini ya namna unavoishi naye. Kuna sehemu unafeli
 
Unampa tu talaka anajisepea zake ishu za kupigwa na mwanamke zinaanzaga kimasihara ila mwisho wake ni kuuana
 
Karibu kuepusha migogoro kila inapowezekana!!
Kulikua na njia nyingine ya kuepusha huo mzozo!!…sema unapenda kuvimbiana .

siku nyingine Ukiambiwa mtoe paka katoe
Sitaki Elewa
Hapendi kitu usifanye kama yy anakuheshimu na kukusikiliza basi naww msikilize

Kifupi mwanaume ukimsimulia mtu kua mmepigana kisa paka unaokana naww busara na akili huna.
Unakua kama mtoto??
Lakini kama haitoshi
Jifunze mbinu za kuresolve conflict”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…