Leo nimepigwa na mke wangu wa ndoa, imenisikitisha sana

Mkuu panya si tafuta sumu yake uwatege ili kukeep AMANI ya NDOA Yako B'se
Wanawake wengi wapo na uwoga na wanyama kama hao
 
Yaani ww mjinga sn mkeo alitaka tendo but hakutaka kukuambia direct ameona huo ni muda wa kua nae ww unaangalia movie ndio maana anakua na hasira sn muda mwingi na ww kwakua humjali kimatendo
 
Nenda kashtaki dawati la jinsia.
 
Alivokupa Kofi, ungempa tu taraka.
Huna haja ya kupigana na Mwanamke manake heshima ishashuka huwez mfunza Mwanamke aliewashinda wazazi unatafuta Kesi tu Senturo pako wazi.
Duh sawa
 
Kumminya na vidole viwili gmba na shahada kama watuwengi walivyozoea kuwa shika watoto mashavu
Kumbe ulimfinya pumbav, hapo kofi kilikuhusu. Kingine mwanamke hapigiwi ukianza kupigana na ke tyr unashusha hadhi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…