Leo nimepigwa na mke wangu wa ndoa, imenisikitisha sana

Akuuwe tu mwenzio hapendi paka unalazmisha ulitakaje sasa. Kuna mtu kama hapendi kitu mwelewe tu. Mmeishi vizuri ona paka anawagombanisha sasa
 
Akuuwe tu mwenzio hapendi paka unalazmisha ulitakaje sasa. Kuna mtu kama hapendi kitu mwelewe tu. Mmeishi vizuri ona paka anawagombanisha sasa
😂😂😂duh ni hatari tatizo sio paka kwasababu nilisha wahi muingiza na yeye akiwepo zaidi ya mara moja tatizo nimemwambia hasikii na kunipiga kofi
 
Pole mkuu ulkua unaamini ule msemo wa mwanaume anapigwa na nyama ya ulimi

Pole sana jitahidi sana kula matikiti kipindi hichi
 
Jiandae kugongewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…