Leo nimepita Daraja la Wami ghafla nikabubujikwa na machozi kumkumbuka Hayati Magufuli

Somi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2009
Posts
3,921
Reaction score
4,858
Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.

Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.

Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.

Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .

Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
 
Haya ni maoni yangu kama independent Sina mrengo wowote .
hilo ndio muhimu,
hapana haja ya kububujikwa na machozi hovyo hovyo whether ni ya furaha au majonzi. Ile ya maana zaidi ni kumshukuru Mungu tu kwa kila Jambo 🐒
 
Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.

Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .

Haya ni maoni yangu kama independent Sina mrengo wowote .
mfyyy
 
Huyu mtu jina lake litakumbukwa sana,nimeobserve hakuna anayepita kwenye mradi wowote mkubwa alioufanya kipindi chake bila kumtaja.Inawezekana pia alifanya miradi mingi ndani ya mda mfupi,or pia inawezekana alifanikiwa kuitangaza miradi yake kwa nguvu kubwa via media.Maana kama miradi kuna mikubwa sana iliyofanywa na marais waliopita ila hamna anayemtaja rais akifika eneo hilo.
 
Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.

Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.

Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.

Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .

Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Una machozi ya kuchezea wewe!
 
Kuhamisha serikali dodoma,
Ujenzi wa Bwawa la kuzalisha umeme,
Ujenzi wa Treni ya mwendokasi,
Ujezi wa madaraja, wami na mengine
ni kielelezo cha mtu aliyekuwa imara,mtu asiyefuata siasa za maji taka za chama chake.

Viva JPM.
 
Kwenye mambo ya serious tuwe serious Kwenye mambo ya sports ndiyo tunaweza kuingiza mizaha!
Tuwekee picha yako basi Comrade ili tuone namna ulivyokuwa unabubujikwa na hayo machozi. Si unafahamu kuna watu humu jukwaani (nikowemo mimi), bila ya uthibitisho wa picha huwa hatuamini!!
 
Back
Top Bottom