Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
😅😂😀👍😅😂😂Una machozi ya kuchezea wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😂😀👍😅😂😂Una machozi ya kuchezea wewe!
Uongozi ni changamoto mno na mara nyingi unapotoka kwenye nafasi ndipo mambo yako mazuri ama mabaya yanaonekana na kusemwa. John Pombe Joseph Magufuli katika uongozi wake pamoja na mapungufu yake ya kibinadamu alithubutu kutaka kutufikisha mahali. Nikiri kusema hakupenda kuona jambo linakwama. Nakumbuka mh Kamwele alivyompa maneno makali pale daraja njia ya Morogoro Dodoma.Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.
Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .
Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Hoja yako ni kweli ila miradi yake mingi ilifanyika kwa ustadi na viwango ambavyo watangulizi wake hawajawahi kufanya;angalia stand za mabasi, angalia kivuko cha sengerema, angalia barabara ,husiende mbali anza sinza na nyingine, angalia hospitali. Cha zaidi ni kwamba hiyo miradi ilifanyika concurrenltly na bila kusimama. Hakuna kiongozi aliyepita aliyeweza kufanya haya. Hata mama yetu anapitia mgongo wake kwa viporo vilivyobakia. Na yeye tunamshukuru kwani alikuwa na uwezo wa kupotezea. Ingawa Mh huyu Bwana alikuwa na vimanagement style vyake vingine tantanishi; wenye fedha zao bank waliipata, wenye bereau de change Arusha na mikoa mikubwa watasimulia Jeshi lilivyoajibadilisha na kuwa wanamgambo kamata fedha. Sitataja suala la watoto wenye waliopata ujauzito mashuleni.All in all he was one among the bravest leaders ever in Tanzania. Itachukua miongo mingi kupata kiongozi wa Kaliba yake.Huyu mtu jina lake litakumbukwa sana,nimeobserve hakuna anayepita kwenye mradi wowote mkubwa alioufanya kipindi chake bila kumtaja.Inawezekana pia alifanya miradi mingi ndani ya mda mfupi,or pia inawezekana alifanikiwa kuitangaza miradi yake kwa nguvu kubwa via media.Maana kama miradi kuna mikubwa sana iliyofanywa na marais waliopita ila hamna anayemtaja rais akifika eneo hilo.
Una nachozi kama ya kuku tu. Unatokwa machozi kijinga sana. Unamlilia Magufuli ambaye hata familia yake ilifurahi kuona hayupo duniani!! Mtu machozi hata ulipofiwa na babu yako hukulia halafu mnalilia hili bubwasha liuaji!!Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.
Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .
Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Duh! Hatari.Una nachozi kama ya kuku tu. Unatokwa machozi kijinga sana. Unamlilia Magufuli ambaye hata familia yake ilifurahi kuona hayupo duniani!! Mtu machozi hata ulipofiwa na babu yako hukulia halafu mnalilia hili bubwasha liuaji!!
Daraja imejengwa kwa kodi zetu wote yeye alikuwa ni msimamizi tu.
Onyesha hayo machozi uliyokinga 🚮🚮🚮🚮🚮Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.
Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .
Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Subiri waje watu waanze kukutukana wewe na Magufuli. watakutukana sana huwa hawapendi kusikia mambo kama haya kabisa.Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.
Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .
Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Kenyewe kalisema, Najua mtanikumbuka lakini si kwa mabaya!Huyu mtu jina lake litakumbukwa sana,nimeobserve hakuna anayepita kwenye mradi wowote mkubwa alioufanya kipindi chake bila kumtaja.Inawezekana pia alifanya miradi mingi ndani ya mda mfupi,or pia inawezekana alifanikiwa kuitangaza miradi yake kwa nguvu kubwa via media.Maana kama miradi kuna mikubwa sana iliyofanywa na marais waliopita ila hamna anayemtaja rais akifika eneo hilo.
Sasa hii mitakataka yako haiwezi kusimamia? Tuache ujinga, Magufuli kwenye maendeleo alikuwa hana spare!Una nachozi kama ya kuku tu. Unatokwa machozi kijinga sana. Unamlilia Magufuli ambaye hata familia yake ilifurahi kuona hayupo duniani!! Mtu machozi hata ulipofiwa na babu yako hukulia halafu mnalilia hili bubwasha liuaji!!
Daraja imejengwa kwa kodi zetu wote yeye alikuwa ni msimamizi tu.
Maendeleo kila Rais wa Tanzania amewahi kufanya kadri ya kipaumbele.Sasa hii mitakataka yako haiwezi kusimamia? Tuache ujinga, Magufuli kwenye maendeleo alikuwa hana spare!
Mna machozi mengi nyie mliozaliwa kuwa watumwa wa watu,Huyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.
Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .
Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Tabia ya kububujikwa na machozi ni dalili ya USHOGAHuyu Bingwa alikuwa hajui siasa lugha yake ilikuwa kazi tu.
Kama angekuwepo huyu bingwa ni hakika spidi ya maendeleo Kwenye hii nchi ingekuwa yenye kasi ya kustaajabisha.
Kitu kingine alinifurahisha Huyu Mzee ni kuwa na udhubutu wa kufanya kitu Hata Kama kwa wengine itaonekana haiwezekani.
Lakini kwakuwa sisi ni binadamu inatubidi kumshukuru MUNGU kwa kila jambo .
Haya ni maoni yangu kama independent sina mrengo wowote .
Mkuu huyo ni cheti feki, anawakilisha hisia za kutumbuliwa na hatimae akakosa mshaharaSasa hii mitakataka yako haiwezi kusimamia? Tuache ujinga, Magufuli kwenye maendeleo alikuwa hana spare!